Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Signed
Hamna deni wakati mmeshindwa kuwalipa watu mliowafanyia tathimini ili wapishe mradi mpaka tathimini imekwisha muda wake?Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
View attachment 3397070
Muondoe funza miguuni basiUwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
View attachment 3397070
Haa Funza Zipande Ndege Kwenda DarMuondoe funza miguuni basi
Watani zangu Waha sasa pandeni ndege, ila msifanye ubishi huko ndani.Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
View attachment 3397070