and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,194
- 39,646
- Thread starter
- #21
Kigoma ndo kura nyingi tunapata huko
😁😁😄😄😂😂😂HEMA la Mwamposa lizinduliwe Kigoma pia
Buhigwe Kwa MpangoKigoma ndo kwa kina Ndalichako na Mpongo?
Kasulu kuna airport?Buhigwe Kwa Mpango
Kasulu Kwa Ndalichako
IpoKasulu kuna airport?
Nimecheka tu anavyokokota spinner kwenye kokoto haya mambo bana 🤣🤣Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
View attachment 3397070
OkayIpo
Ndege Ndogo Hutua Ila Bado Local