Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

Vigogo wapumulia mashine ni baada ya kupigwa chenga ya tobo huku wakilambwa za uso.

Mara pap vigogo wanachungulia teuzi mara pap vigogo hawaoni majina yao mara pap vigogo wanaanza kuhema kwa kasi mara pap vigogo leo usingizi hawapati.

Ni nomaa yaani mama bhana.

Hivi wakuu ulishawai kuihisi ile presha wakati wakati wakuangalia matokeo ya NECTA form four. Ile presha vipi, vigogo wanaijua vizuri ngoja wakomenti.
Hahahah!! Kinachofanyika sasa hivi ni mashambulizi ya kushtukiza. Yaani unatokea gafla unamshambulia adui then unapotea...
 
Basi tu mama hajawakera aidha wanamuunga mkono, kama magufuli walimshindwa na alikuwa kaimiliki serekali 100% na kakaa madarakani zaidi ya miaka 5, sembuse mama hata mwezi hajamaliza madarakani mnaanza kusema kawamudu!
Kawamudu, itakuwa mfumo wa wahusika huo wamenadilishiwa vituo vya kazi...kwisha hbr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom