Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Katibu Mkuu wa Wizara anawambia wafanyakazi wa NHC (shirika ambalo lipo chini yake) kuna kigogo anajinufanisha na jengo fulani. Yeye katibu Mkuu tayari ana hizo taarifa na madaraka anayo (au anaweza kumshauri Waziri/ Rais) badala ya kurekebisha ufisadi huo anawaambia wafanyakazi walio chini yake ili wafanye nini????
Hapa lipo tatizo. Nadhani huyo muheshimiwa anatakiwa kujiondoa kazini mapema. Ila najua hawezi kujaribu kwani walioshindwa ni wengi sana akiwemo na Boss wao!