- Thread starter
- #81
jipe moyo ntapata mtoto wakati uzazi hunahuyu ni mpiga dili na mchumia tumbo. Watavuna aibu tu.
jipe moyo ntapata mtoto wakati uzazi hunahuyu ni mpiga dili na mchumia tumbo. Watavuna aibu tu.
Mambo ya ajabu sana kwa sababu wananchi ni misukule ndio yeye anaweza akawaamulia wamchague nani Masha na fedha zote, Dialo na utajiri wote waliangukia pua kwa sababu ya maamuzi ya wananchi leo mtu anasema majimbo yanarejea chezea wananchi weweHuyu jamaa ndiyo alikuwa anaendesha kampeni za nyumba kwa nyumba maeneo Nyamanoro, Kirumba, Igombe, Pasiansi, Kitangiri, Nyasaka,
asiye kuwa chadema kalaaniwa? kwa hiyo chadema ni dini?Umelaaniwa wewe na huyo kipopo njaa wako. Namshukuru Mungu kenge wameanza kujitoa kwenye msafara wetu.
nawe ......katika nchi ya yuda! hu mdogo kamwe katika nchi ya yuda1 ! kwan toka kwako atatoka mtawala atakaye wachunga watu wangu israelihajaenda na mkewe?arudi amchukue pia kama amemwacha.hii ni safari ya kwenda nchi ya ahadi.wenye dhambi wote na wachafu wote watapukutika kabla hatujaingia nchi ya ahadi.huyo ni mmoja wao.
pia amechoka kwa kukosa posho za lumumba.Amechoka kuandamana anataka kujenga nchi.waambie na wengine
pia amechoka kwa kukosa posho za lumumba.
Hata kama alikuwa anafanya kampeni ya mtu kwa mtu bora aondoke CDM sio mahali pakupigia mawe mkuuHuyu jamaa ndiyo alikuwa anaendesha kampeni za nyumba kwa nyumba maeneo Nyamanoro, Kirumba, Igombe, Pasiansi, Kitangiri, Nyasaka,
.. Namshukuru Mungu kenge wameanza kujitoa kwenye msafara wetu.
Karibu Mwana mpotevu. Rudi kwa baba yako.
wewe pombe mbaya sana, sasa jiandae kesho asubuhi ukaonane na Nape pale lumumba akupe posho yako.
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.
Sidhani kama unajua maana ya sera. Katika uchaguzi ulliopita CCM hawakuwa na sera bali ahadi. Ukitembelea tovuti ya CDM utakuta sera zao pale. CDM hawajawahi kupata nafasi ya kujaribu sera zao hivyo huwezi kisema sera zimmeshindwaunajua wanachama na viongozi wa cdm ukweli mnajua kuwa mnapingana na ukweli ulio wazi..kuwa cdm ni wapiga debe tu ....hakuna sera hakuna mipango ni chama cha eneo moja mawili ukitoka maeneo hayo basi hakuna cdm....... ili si vibaya mkaendelea kuwa kama fisi