Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

Mti usio toa matunda hukatwa na kutupwa.mtu ashaakua kigogo unadhani kuna jipya hapo
 
This is good news.... waliondoka bure, wanarudi kwa pesa

wataondoka tena bure in 2014, watarudi tena bure in 2016, wataondoka tena bure in 2018 and watarudi tena bure 2022

ni kama milupo vile
 
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.

Unaleta masihara kwa mtu ambaye TEMBO wakimuona wanabadili njia kwa kasi isiyo ya kawaida?
 
Ni bora waondoke sasa hivi make wangesubiri mpaka 2015 ingekuwa mbaya sana, huyu atasahaurika tu, Na watanzania walivyo wepesi wa kusahau watamsahau ndani ya masaa kazaa, kama ishu za kuteswa kwa Ulimboka zisha sahaurika sembuse hii
 
Na bado watarudi sana,haya ndiyo madhara ya ushabiki usiokuwa na vipimo?
 
Karibu ccm chama imara chenye sera zinazotekelezeka iyena iyena 2015 ....saruji mfuko 5000 kiwanda cha mjomba wako.
 
Heri wewe umegundua mapema cdm ni mari ya mbowe slaa na mtei wengine wote wapiga kelele karibuni sana kwenye chama cha amani.
 
Karibu ccm chama imara chenye sera zinazotekelezeka iyena iyena 2015 ....saruji mfuko 5000 kiwanda cha mjomba wako.
Wewe uko nchi gani? Kinana mwizi wa pembe za ndovu amekiri kwamba saruji inaweza shuka bei wakitoa kodi zenu za wizi mlizoziweka pale unabisha nini WEZI WAKUBWA NYIE IYENA YA BABA YENU HAMUIMBI TENA 2015 HAMNA KUIBA KURA TENA
Sera zinatekelezeka? Ndio maana mnashangilia kutengenezwa barabara wakati ni haki ya kila mwananchi kupatiwa huduma muhimu hivi hiyo miaka 51 mlikuwa mnakuna nazi tu
 
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.

Hivi nini maana halisi ya tafsiri ya kigogo? Ama mtu kuwa mwanachama wa chadema ni kuwa kigogo? Huyu uliyemtaja yeye alikua nani? Maana sijawahi hata kumsikia akiandikwa wala kuonekana sasa uhimili wake ulikuwa ni kupikia chakula timu ya kampeni ama alikuwa kamati ya ufundi?
 
wewe uko nchi gani? Kinana mwizi wa pembe za ndovu amekiri kwamba saruji inaweza shuka bei wakitoa kodi zenu za wizi mlizoziweka pale unabisha nini wezi wakubwa nyie iyena ya baba yenu hamuimbi tena 2015 hamna kuiba kura tena
sera zinatekelezeka? Ndio maana mnashangilia kutengenezwa barabara wakati ni haki ya kila mwananchi kupatiwa huduma muhimu hivi hiyo miaka 51 mlikuwa mnakuna nazi tu
.
Na serikali imeanza kueleza mafanikio ya ilani ya ccm toka 2015... Mana mumezidi uwongo wa maji taka kuwadanganya wananchi wakati wanaona mambo mazuri yanayofanywa na serikali yao na chama chao tulivu.... Sijui mtawambia watu wa kilombero au maragarasi et hakuna daraja linalojengwa wakati wanaona linajengwa.... Ntafanya vs nimefanya... Nina mtoto vs ntapata mtoto wakati nguvu za kiume huna...
 
Ili jembe ndiyo lilisababisha Dialo kushindwa ubunge. Ni pigo kubwa kwa Chadema Ilemela.
 
Ili jembe ndiyo lilisababisha Dialo kushindwa ubunge. Ni pigo kubwa kwa Chadema Ilemela.

Alikua nani huyo? Semeni alitimiza wajibu gani uganga ama upishi? Maana kwenye mikakati na majukwaani hakuwahi kuonekana huyu........
 
ome
Karibu ktk chama cha wenye hekima na waliopewa kibali na Bwana wa majeshi ,achana na masonic movement ambazo ndani yake ibilisi amejibanza ,karibu ccm huku ni nidhamu na kulijenga taifa tunatumia muda mwingi kufanya kazi sio kuandamana na kuilaumu serikali bila kujituma

usidanganye watu wewe,kama ni hivyo mda wa kuiba tembo na kupeleka hela zetu uswiss mnaupata wapi......au ndiyo nidhamu yenyewe hiyo?
 
ili jembe ndiyo lilisababisha dialo kushindwa ubunge. Ni pigo kubwa kwa chadema ilemela.

wenyewe et wanajipa moyo et haku lolote ..yule jama ndo alikuwa kiungo wa ushindi wa cdm 2010 jiji la mwanza...ila ndo kagundua aliingia mkenge chama chenye kumbe saccos
 
alikua nani huyo? Semeni alitimiza wajibu gani uganga ama upishi? Maana kwenye mikakati na majukwaani hakuwahi kuonekana huyu........

kwani kinana kwenye ushindi wa jk 2010 alikuwa majukwaani...
 
Back
Top Bottom