Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.
Ni afadhali mtu aondoke kwa kuheshimu dhamira yake kuliko kuishi kwa unafiki.
ome
Karibu ktk chama cha wenye hekima na waliopewa kibali na Bwana wa majeshi ,achana na masonic movement ambazo ndani yake ibilisi amejibanza ,karibu ccm huku ni nidhamu na kulijenga taifa tunatumia muda mwingi kufanya kazi sio kuandamana na kuilaumu serikali bila kujituma
nguvu ya umma si mchezo, wale wote wenye dhambi za ufisadi watakimbia M4C na kurudi kujificha kwenye pango la wezi. Kingine sisi cdm hatutegemei majina sisi mtaji wetu ni wananchi so wacha wajiengue. M4C ni noma!
pia mkuu usisahau kumwambia na asisahau kumsalimia mzee wa meno ya tembo.ome
Karibu ktk chama cha wenye hekima na waliopewa kibali na Bwana wa majeshi ,achana na masonic movement ambazo ndani yake ibilisi amejibanza ,karibu ccm huku ni nidhamu na kulijenga taifa tunatumia muda mwingi kufanya kazi sio kuandamana na kuilaumu serikali bila kujituma
Umelaaniwa wewe na huyo kipopo njaa wako. Namshukuru Mungu kenge wameanza kujitoa kwenye msafara wetu.