Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

Kigogo wa CHADEMA Mwanza arudi CCM

hajaenda na mkewe?arudi amchukue pia kama amemwacha.hii ni safari ya kwenda nchi ya ahadi.wenye dhambi wote na wachafu wote watapukutika kabla hatujaingia nchi ya ahadi.huyo ni mmoja wao.
 
Huyu jamaa ndiyo alikuwa anaendesha kampeni za nyumba kwa nyumba maeneo Nyamanoro, Kirumba, Igombe, Pasiansi, Kitangiri, Nyasaka,
 
Huyu jamaa ndiyo alikuwa anaendesha kampeni za nyumba kwa nyumba maeneo Nyamanoro, Kirumba, Igombe, Pasiansi, Kitangiri, Nyasaka,
Mambo ya ajabu sana kwa sababu wananchi ni misukule ndio yeye anaweza akawaamulia wamchague nani Masha na fedha zote, Dialo na utajiri wote waliangukia pua kwa sababu ya maamuzi ya wananchi leo mtu anasema majimbo yanarejea chezea wananchi wewe
 
hajaenda na mkewe?arudi amchukue pia kama amemwacha.hii ni safari ya kwenda nchi ya ahadi.wenye dhambi wote na wachafu wote watapukutika kabla hatujaingia nchi ya ahadi.huyo ni mmoja wao.
nawe ......katika nchi ya yuda! hu mdogo kamwe katika nchi ya yuda1 ! kwan toka kwako atatoka mtawala atakaye wachunga watu wangu israeli
 
pia amechoka kwa kukosa posho za lumumba.

kwani kuna anayependa shida dunia hii??hata hao kina lema wanazunguka na m4c bz wanapewa posho...kuliko posho wangezunguka na kuandamana...kamwee.... Mwache kaona wapi kuna ukweli ndo karudi kwa baba na mamake ccm
 
Huyu jamaa ndiyo alikuwa anaendesha kampeni za nyumba kwa nyumba maeneo Nyamanoro, Kirumba, Igombe, Pasiansi, Kitangiri, Nyasaka,
Hata kama alikuwa anafanya kampeni ya mtu kwa mtu bora aondoke CDM sio mahali pakupigia mawe mkuu
 
wewe pombe mbaya sana, sasa jiandae kesho asubuhi ukaonane na Nape pale lumumba akupe posho yako.

Hasira ya nini??????? Kama unaona huko hakalipi, Karibu na wewe, ndani ya chama makini. Unaumiza roho yako, kuunga mkono chama ambacho hakikaa kishike dora mpaka mwisho wa maisha yake!!!
 
masonic move
mbona ni jina zuri hivyo labda umetamka bila kujua maana yake
 
Huyo wala hakuwa kigogo kama unavyosema ila lilikuwa n PANDIKIZI LA MAGAMBA ambalo limeshindwa kuota cdm. acha likafie huko kwenye laana ya kudhulum haki za waTZ.
 
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.

hana maana huyo akafie mbali huko m2 asiye na sababu za msingi kwanza nina waswas na elimu yake na hata ubungo wake chadema watu ni vichwa huyu kajitoa baada ya kujipima akaona hataweza aende ccm kwenye wapiga ramli wanaofikiria kwa miguu
 
Kweli upepo wa Kinana unavuma kwa kasi ya ajabu.... Aliyekuwa mhimili wa CHADEMA kwenye uchaguzi 2010 kwenye kampeni za ubunge Ilemela na Nyamagana ndg.Milton Lutabana ameamua rudi CCM.. Sababu CHADEMA hakina sera wala mipango ya kuwaletea maendeleo wananchi ni porojo na fujo tu.

wanarudi ccm kwasababu hawakuwa wanamapinduzi, walikuja kwa malengo yao yalipokosa kutimia ndipo sababu zinaanza. tunamtakia kila la kheri ila ajue tu ndio mwisho wa ndoto zake kisiasa, unakumbuka Tambwe hiza na Thomas Ngawaiya waliwika nayakati ziel waliporudi ccm unawasikia siku hizi? mwambie amepoteza muda kurudi ccm
 
kama chadema hawna sera mbona ccm wanazifanyia kazi sera za chadema za 2010? mfano ufisadi, katiba, ujenzi hasa katika kupunguza gharama za vifaa vya ujenzi, elimu bure? huyo hana jipya ndani ya chadema ni oil chafu, katibu wa ufisadi na uenezi wa wizi kaka mapepe ninaye moses ampokee
 
unajua wanachama na viongozi wa cdm ukweli mnajua kuwa mnapingana na ukweli ulio wazi..kuwa cdm ni wapiga debe tu ....hakuna sera hakuna mipango ni chama cha eneo moja mawili ukitoka maeneo hayo basi hakuna cdm....... ili si vibaya mkaendelea kuwa kama fisi
Sidhani kama unajua maana ya sera. Katika uchaguzi ulliopita CCM hawakuwa na sera bali ahadi. Ukitembelea tovuti ya CDM utakuta sera zao pale. CDM hawajawahi kupata nafasi ya kujaribu sera zao hivyo huwezi kisema sera zimmeshindwa
 
Back
Top Bottom