Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Molemo, Jan 24, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mjumbe wa mkutano mkuu wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mahanya Edward (35 yrs) amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

  Edward alikabidhi kadi yake ya CCM kwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Kigoma Kusini Shaban Madele. Edward ametaja sababu ya kujiunga na CHADEMA kuwa ni kutokana na chama hicho kuwa na msimamo thabiti wa kuwapelekea wananchi maendeleo na ndicho chama ambacho kwa sasa wananchi wanakitaka.

  Pia alitaja sababu nyingine kuwa ni CCM kupoteza mwelekeo na kukumbatia vitendo vya rushwa.


  Source: Nipashe uk. 8
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sawa, inaruhusiwa
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kakumbuka shuka
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hakika inafurahisha sana jeshi linavyoongezeka kila siku.Karibu sana kwa wapambanaji
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Safi sana kijana,umefanya maamuzi magumu!
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,294
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  viona mbali wanajua nani atachukua nchi 2015 lakini nakukumbusha CDM sio sehemu ambayo utapata cheo sababu umekimbia ccm,..hayo mambo wanayo ccm walipompa wassira cheo..
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,051
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  CDM ni kawaida yenu kumpokea kila mwana CCM anayekuja kwenu! swali langu ni je huwa mnawafanyia character assessiment? kumbukeni hata Shibuda alihamia hivyohivyo!
   
 8. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,846
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Leo najikumbisha msemo wa KUVUJA KWA PAKACHA nafuu ya_ _ _ _ _ Nenda ukavae magwanda
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,806
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  neno kigogo liko very abused
   
 10. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,846
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Twampotezea mie nilifikiri Benno Malisa kumbe ni kidagaa tu, nenda zako usirudi
   
 11. d

  davidie JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  character assessiment gani ambayo nyinyi mnaifanya? maana wengi wa wanachama wenu ni wezi, mafisadi, warafi wa fedha na madaraka,waongo,wanafki waoga na vihiyo pia watendaji wabovu wenye fikra 0 mpaka wasukumwe ndio watende. jaribu kufananisha ubora wa wanachama wanaotoka ccm na waliobaki ccm utagundua nani ni pumba
   
 12. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,222
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mamluki huyo. Katumwa kuja kuchungulia kunani Chadema
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,493
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Akili zilizochanganyika na haja kubwa utazijua tu.
   
 14. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  huyu anapigia mahesabu uchaguzi mdogo wa ubunge. Nadhani anafikiria kwamba hatimaye kafulila atapoteza kiti cha ubunge kutokana na kufukuzwa na nccr-mageuzi. Hivyo ameshaangalia upepo na kugundua kuwa chadema kiweza kupatia hiyo nafasi.
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  karibu ndugu yetu tuliue hili joka kuu
   
 16. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana jipya huyu na kuhama kwake cccm, askari ahakimbii kambi anapigana mpaka kieleweke.
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  bado KIGOGO NAPE.
   
 18. S

  STIDE JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hadi 2015 CCM wenye akili watakuwa wameikimbia na kubaki WAKATA NYASI!!
  Big up CHADEMA!!
   
 19. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,846
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Nenda ukapiganie demokrasia ndani ya CDM, muulize ZITO kawa Naibu Katibu Mkuu hewa maamuzi yote ni kanda ya Kaskazini. Hata ikatokea Kafulila amepoteza ubunge, watamleta mhindi agombee ili kulipa fadhila kwa Sabodo
   
 20. M

  Makupa JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,738
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa lazima aturudi nyumabani kabla ya 2015 na atakiponda sana CHADEMA
   
Loading...