Kigogo serikalini atuhumiwa ushoga

Kigogo serikalini atuhumiwa ushoga

kwel mkuu au propaganda, maana glob si ndio wanatoa magazet ya udaku...!!!! Hi si kwel

gazei lenyewe ni la udaku....
Najiuliza baada ya kukili kufana ivyo gazeti hilo likachukua rushwa ili kukaa kimya co.

Hizi hbr ni maigizo tu, kama zile picha za usanii za fumanizi guest zinazotolewa
 
Hawawez kumtaja ikiwa mwenyewe amekir na kuomba asitiriwe na hata wakimtaja itakuwa Kama ya kapuya funika kombe mwanaharam apite mashoga wengi tuu serikalin ila hakuna wakuwataja
 
mkuu lusungo nenda kamfunyue huyo dodo Taric jumbe umuone.. kweli kabisa atakuwa anapuliwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom