Kigogo serikalini atuhumiwa ushoga

Kigogo serikalini atuhumiwa ushoga

"Ukitaka kula, lazima na wewe uliwe japo kidogo".....Ni maneno ya Mh Dk Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Tanganyika (ilovaa koti la JMT)

Wakati akihutubia bunge na kuongelea skendo ya EPA!!!! Kuanzia hapo, nilikuwa na maswali mengi ya kujiuliza!!!! Eti kuna mtu aliwachomea utambi!!!!! Kwa hiyo hakutaka achomewe? kwa kuwa eti naye alikuwa anataka na hakupata!!!!!yule mhindi!!!! Kituko!!!
 
Kijana Jumbe angalia tu kuanzia leo usije ukapotea ghafla au kung'olewa kucha na meno bila ganzi!!! Bora ameamua kuwaaibisha chama kongwe maana hawakemei haya mambo sasa kumbe wao ni watumiaji wazuri!!! (baadhi).
 
Hapo sijaelewa vizuri 'Kigogo' ndio anaefanywa ua Fanya?

Na mimi nilitaka kuhoji katika hali. Mwanzo nilifikiri Kigogo ndiye anayefanywa lakini kuna mahali eti Jumbe alimuita kigogo mume. Sasa sijui which is which hapa.

Tiba
 
ndo maana siyapendi magazeti ya udaku,kama hawawezi kumtaja kiongozi husika basi habari inaweza isiwe ya kweli nakumbuka kipindi cha nyuma sana miwaka 2004 magazeti ya udaku waliwahi kumzushia baba yangu mdogo(.R.I.P) ambae alikuwa na mke wake kwamba amemsaliti mke wake na kutembea na mtu mwingine shoga na waliweka mpk picha yake tena ilikuwa front page kilukweli ile habari iliniumiza sana na siwezi kuisahau mpk leo nilikuwa nipo sekiondari kipindi hicho na nusura ndoa ivunjike ya mama yangu mdogo ikafunguliwa kesi juu hilo gazeti husika na mwishowe ikaonekana habari ilikuwa ya uongo haina ukweli hata kidogo(walikutwa na hatia) gazeti husika lilitozwa faini na mwezi ujao waliweka maelezo ya kuitaka radhi familia na kukanusha habari waliyoitoa mwezi uliopita,tokea siku hiyo sina hamu na magazeti ya udaku tena.
 
Du huyu Jumbe nae ni noma yaani anakubali kumbong'olea dume mwenzie? nyambaf kabisa,lakini dini ya akina Jumbe nasikia ni ruksaa!

yule padri aliyokamtwa udsm akimlawiti mwanafunzi wa kiume naye katumwa na kanisa?
 
duh si wangemtaja jina tu wakati umefika watz tuache unafiki wamtaje tuui...jumbe hyo asije nay akawa fiksi maana na yy anaonekana syo riziki
.nyambaf
 
ndo maana siyapendi magazeti ya udaku,kama hawawezi kumtaja kiongozi husika basi habari inaweza isiwe ya kweli nakumbuka kipindi cha nyuma sana miwaka 2004 magazeti ya udaku waliwahi kumzushia baba yangu mdogo(.R.I.P) ambae alikuwa na mke wake kwamba amemsaliti mke wake na kutembea na mtu mwingine shoga na waliweka mpk picha yake tena ilikuwa front page kilukweli ile habari iliniumiza sana na siwezi kuisahau mpk leo nilikuwa nipo sekiondari kipindi hicho na nusura ndoa ivunjike ya mama yangu mdogo ikafunguliwa kesi juu hilo gazeti husika na mwishowe ikaonekana habari ilikuwa ya uongo haina ukweli hata kidogo gazeti husika lilitozwa faini na mwezi ujao waliweka habari hiyo ndani ya kuitaka radhi familia,tokea siku hiyo sina hamu na magazeti ya udaku tena.
Mkuu kweli umechanganyikiwa maana maelezo yako hapo chini hayako sawa! Na mwezi ujao waliweka habari???? Sa ndo nn?
 
Mkuu kweli umechanganyikiwa maana maelezo yako hapo chini hayako sawa! Na mwezi ujao waliweka habari???? Sa ndo nn?
waliweka habari/maelezo ya kuiomba radhi familia na kufuta kauli juu ya yale waliyoyandika mwezi uliopita coz kesi ilidumu kwa muda wa mwezi mzima
 
sasa nani alikuwa anamtafuna mwenzake hapo?
 
Habari inaweza kuwa ya ukweli ila kwavile Source ni gazeti pendwa...hatuwezi kuiweka maanani!!
 
....ninachokiona watasingizia ni siasa chafu, watu kama hawa inabidi wawekewe mtego, haiwezekani kuweka fumanizi lakini uchafu wake upimwe kwa DNA tena nje ya nchi na wawajibike....
 
ujue hapa wengi mbashindwa kuelewa na hili ndio tatizo la magazeti ya udaku kichwa na habari ndani ni vitu 2 tofauti kabisaaa.
ukisoma kichwa cha habari hapo inamaanisha kigogo ndio anamegwa lakini ukisoma story ndani huyo kijana ndio anamegwa.

hivi kumbe huko fb ukimtongoza mwanaume hata kama sio SHOGA anakubali na unammega na kumwanzishia ushoga?

isije ikawa huyu kijana ndio tabia yake so akamparamia kigogo bae bila kulaza dam akamnega??

jamani huyo kijana anatumia jina gani huko fb ili tukajaribu kufukunyua kwenye akaunt yake na kupitia marafiki wake wooote najua bila hiyana tutamkuta tu huyo kigogo.

mwisho wa yote msijekutuletea uzushi wenu hapa ili tusahau mambo ya Msingi kuhusu katiba na hasa muungano juu ya serikali 3.
 
Hapo sijaelewa vizuri 'Kigogo' ndio anaefanywa ua Fanya?

haya tuseme habari ni ya kweli,kwahiyo hapa anaegongwa ni huyu dogo au mheshimiwa kiongozi!

Na mimi nilitaka kuhoji katika hali. Mwanzo nilifikiri Kigogo ndiye anayefanywa lakini kuna mahali eti Jumbe alimuita kigogo mume. Sasa sijui which is which hapa.

Tiba

sasa nani alikuwa anamtafuna mwenzake hapo?

hata mimi sijaelewa nani ndio mtendewa/anaefanywa!??

nukuu..."Kwa macho maangavu, waandishi wetu walioneshwa meseji alizokuwa akituma kigogo huyo ambazo chache kati ya hizo zilisomeka: "Baby, mke wangu, honey," huku Jumbe naye akichagiza majibu kwa mtindo huohuo hadi naye kufikia mahali pa kumwita kigogo huyo 'mume wangu', aibu iliyoje!..."

..kwa nukuu hii dogo kaliwa tayari...eeeh Mungu...!!

ujue hapa wengi mbashindwa kuelewa na hili ndio tatizo la magazeti ya udaku kichwa na habari ndani ni vitu 2 tofauti kabisaaa.
ukisoma kichwa cha habari hapo inamaanisha kigogo ndio anamegwa lakini ukisoma story ndani huyo kijana ndio anamegwa.

hivi kumbe huko fb ukimtongoza mwanaume hata kama sio SHOGA anakubali na unammega na kumwanzishia ushoga?

isije ikawa huyu kijana ndio tabia yake so akamparamia kigogo bae bila kulaza dam akamnega??

jamani huyo kijana anatumia jina gani huko fb ili tukajaribu kufukunyua kwenye akaunt yake na kupitia marafiki wake wooote najua bila hiyana tutamkuta tu huyo kigogo.

mwisho wa yote msijekutuletea uzushi wenu hapa ili tusahau mambo ya Msingi kuhusu katiba na hasa muungano juu ya serikali 3.

nmemtafuta FACEBOOK Nimempata huyu hapa
https://m.facebook.com/taric.jumbe?id=100001873501979&refsrc=https%3A%2F%2Fwww.facebook.com%2Ftaric.jumbe
 
TAHADHARI
Tunapenda kuutaarifu umma kuwa tumeamua kulificha kwa makusudi jina la kigogo huyu ili kuilinda heshima yake ambayo ni kubwa katika jamii yetu. Tutaliweka wazi wakati wowote endapo kati ya mambo haya yatajitokeza.

Mosi, kijana huyo (Jumbe) atadhuriwa. Tunajua nguvu alizonazo mheshimiwa huyu ni kubwa, tunaomba kumfahamisha kwamba tutamuanika hadharani endapo Jumbe atafikwa na matatizo yoyote yasiyo ya kawaida.
Pili, endapo tutathibitisha kuwa anaendelea na mchezo wake huu usiokubalika na mwisho, endapo waandishi waliokwenda kufanya naye mahojiano, ambao yeye na wapambe wake wanawafahamu, watapata madhara yoyote

Kama mnaficha, ficheni habari yote, kama mnaamua kutoa habari, toeni yote.

Muandishi wa habari huficha chanzo chake cha habari, si mtuhumiwa ambaye ushahidi dhidi yake upo.

Bila jina la kigogo mimi nachukulia kuwa hii ni hadithi ya kutungwa tu ili kusaidia kupaisha mauzo ya gazeti.
 
Back
Top Bottom