Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA

Jamani suala kuwa ni kigogo au si kigogo inategemea uko wapi, huko vijijini hata Mtendaji wa kijiji ni sawa na Mungu mtu, anakamata, anatoa hukumu hadi kufunga au kufungua mtuhumiwa. Kwahiyo kwa ngazi ya Wilaya, huyo ni kigogo. Mnasahau namna ambavyo wenyeviti wa CCM wa mikoa wanavyopiga makofi hadi askari? huo ndiyo ukigogo wenyewe.
Mkuu nimefurahishwa sana hilo jibu ulilotoa limeenda shule, neno kigogo is a relative term tunaweza kumuita JK ni kigogo akiwa Tanzania lakini akikutana na viongozi wa G20 anakuwa kama kikuni tu.
 
Jamani who is "Kigogo" kwenye siasa? It seems everyone it titled Kigogo when defecting from Magamba

Rev. Masanilo (japo umestaafu),

Kwangu mimi kigogo ni kiongozi wa ngazi yoyote ndani ya CCM, kuanzia balozi mpaka huko juu. Unajua mabalozi, wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji ndio watekelezaji wakuu wa wizi wa kura kwenye ngazi za huko chini. Hawa viongozi wa wilaya na kupanda juu kazi yao huwa ni kuagiza.

Kwa hiyo hao viongozi wakitumika vizuri wanaweza kutoa details zote za namna ambavyo kura huwa zinaibiwa. Unakumbuka wale wazee walioshikwa na masanduku ya kura 1000 kule Arumeru? Unaweza kukuta wote ni mabalozi au viongozi wa ngazi za vijiji na vitongoji.

Kwangu kiongozi yeyote wa CCM ambaye anashiriki kwenye vikao vya kubaka demokrasia ili waibe kura, ninamuona ni "kigogo" na ana msaada mkubwa kuliko hata hao viongozi wa juu ambao huwa hawahusiki na utekelezaji wa wizi wa kura.

Off Topic: Masanilo umeamua kustaafu u-Rev ili ubuni mradi kama wa Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu wa Loliondo? ... LOL
 
Last edited by a moderator:

Wote walio katika "fight for change" na wote wanaoamua kujiunga na mkondo huo. Hivyo usijali sana kwa kufikiri kigogo lazima awe Rais, Waziri, n.k. hata wewe kama uko au siku ukiamua kuwa kwenye mkondo huu basi jua kwamba nawe tayari ni kigogo.
 
Jamani who is "Kigogo" kwenye siasa? It seems everyone it titled Kigogo when defecting from Magamba

Mchungaji Masanilo, hako ni kagogo! Nafurahi zaidi kusikia hawa wadogowadogo wakitoka huko na kuja huku, hawa ndio muhimu maana ndio wale wanaokusanya wale wanaopanda ya malori kuja kwenye mikutano ya magamba!
 
Mie nasubiri tu taarifa kuwa Ritz na Rejao wanahamia Chadema maana hao ndio wana magamba magumu sana.
 
Rejao nae siku ya Ijumaa aliyopanga kuhamia CDM tutamwita kigogo kwa muda...

Rejao moyoni sio CCM na ndiyo maana anapotaka kushare feelings zake anatumia ID nyingine. Hii ya Rejao ni ya kikazi kwani analazimika kusema against his heart kwa sababu ma boss wanaweka takwimu ya post zake na kuona amesema nini kutetea system. Kazi zingine ngumu!!!
 
Mchungaji Masanilo, hako ni kagogo! Nafurahi zaidi kusikia hawa wadogowadogo wakitoka huko na kuja huku, hawa ndio muhimu maana ndio wale wanaokusanya wale wanaopanda ya malori kuja kwenye mikutano ya magamba!

I sincerely agree with you huyu ni Kagogo
 
Rev. Masanilo (japo umestaafu),

Kwangu mimi kigogo ni kiongozi wa ngazi yoyote ndani ya CCM, kuanzia balozi mpaka huko juu. Unajua mabalozi, wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji ndio watekelezaji wakuu wa wizi wa kura kwenye ngazi za huko chini. Hawa viongozi wa wilaya na kupanda juu kazi yao huwa ni kuagiza.

Kwa hiyo hao viongozi wakitumika vizuri wanaweza kutoa details zote za namna ambavyo kura huwa zinaibiwa. Unakumbuka wale wazee walioshikwa na masanduku ya kura 1000 kule Arumeru? Unaweza kukuta wote ni mabalozi au viongozi wa ngazi za vijiji na vitongoji.

Kwangu kiongozi yeyote wa CCM ambaye anashiriki kwenye vikao vya kubaka demokrasia ili waibe kura, ninamuona ni "kigogo" na ana msaada mkubwa kuliko hata hao viongozi wa juu ambao huwa hawahusiki na utekelezaji wa wizi wa kura.

Off Topic: Masanilo umeamua kustaafu u-Rev ili ubuni mradi kama wa Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu wa Loliondo? ... LOL

Defn yako utata mtupu ! I'm retired kazi za kiroho babu Loliondo is a hoax
 
Last edited by a moderator:
hili neno Kigogo linatumika vibaya! Labda tuanze kutoa maelezo ktk chama vigogo ni akina nani na vijiti ni akina nani! Huyu ktk mada hii ni kijiti tu c kigogo.
 
Back
Top Bottom