Kigogo afia hotelini

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Kwa taarifa nilizozipokea hivi punde toka kwa jirani yangu amenitaarifu kuwa kigogo mmoja wa chama fulani cha siasa hapa nchini amekutwa amefia katika chumba alimokuwa amefikia. Alikuwa amefika katika hoteli moja mpya iliyoko mtaa wa makao mapya mkabala na seuri baa ijulikanayo kama annex palace. Aidha jirani yangu amedai kuwa waandishi wa habari pamoja wananchi wamezuiliwa kuingia huko ndani. Mda huu maiti imeshapelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hosipitali ya mount meru.
 
Pindi nikilipata nitalirusha hewani
 

Marehemu huwa hawafichwi! BTW R.I.P kigogo
 
Marehemu Kigogo apate rehema kwa Mungu............
 
sasa ulikurupuka kuleta mada nusunusu za nin?
 
Nini mana ya. Hii thread kma unatupa info nusunusu kma ni siri kutoa hlo jina basi itakuwa unafki ww kuja kupost humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…