Ngoja nimuulize hausegirl wangu hapa maana wao ndo watazamaji wa ujinga wa Bongo movie.
Yaani mtu mzima na akili zako pengine msomi kiasi ufundishwe maisha kwa utakayoyaona kwenye bongo movie?
Nani kwanza wa kukupa hayo mafunzo
Iren Uwoya?
Rose Ndauka?
Johari? Ray? Mainda? Lulu? Tuache masikhara tusichukululie maisha kua ni simple kiasi hicho.
Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai kutenegenzwa,ni filamu ya ki Tanzania iliyoongozwa na mwanadada Zamaradi Mketema,ikiwa ina akisi maudhui halisi kabisa ya maisha ya watanzania wengi maskini wanaoishi uswahilini,Kwa wewe uliyefanikiwa kuiona filamu hii unaizungumziaje?
Nimetoka kuiangalia sasa hivi yani nimecheka mpaka basi
niazime na mimi
niazime na mimi
kantangaze mke mwenza eti!
hm hv bebi wetu kaenda msiban?
Yupo hlf leo sijui hata kavurugwa na nini,ana hasira hasira za ajabu ajabu,nimemuacha npo sehemu na best friend
beb nae ameanza visa
niazime na mimi