GE2025 Kigamboni tunaenda na Yericko Nyerere

GE2025 Kigamboni tunaenda na Yericko Nyerere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mtu wa Majira na Nyakati

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
980
Reaction score
2,870
Tunahitaji vijana wenye uthubutu na wenye utambuzi.

Yericko Nyerere Anatosha
 
Attachments

  • FB_IMG_17565181381822961.jpg
    FB_IMG_17565181381822961.jpg
    282 KB · Views: 12
View attachment 3458287
ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).

Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.

Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
Mama hana mpinzani Ila ubunge tunaenda na sauti ya umma @Yericko Nyerere
 
Msaliti ndo nini?

Au wewe mgeni wa siasa za Tanzania?
Maneno mengi ya nini?
Subiri mtashangaa. Wenzenu walioapa kulinda kura umeona kilichowapata?
CCM imepanga kutoa viti kadhaa kwa vyama vya michongo lakini Kigamboni haiko kwenye hiyo list.
You can take this statement to the bank.
 
Labda kule kigoma mjini wanaweza kumpa zito
 
Kigamboni ilikuwa ngome ya upinzani zamani sio Sasa hivi. Nakumbuka mwaka 2000 alishinda mgombea wa CUF Frank Magoba.
 
Back
Top Bottom