Kaishindwa kuzalimini timu ndo ajenge uwanja?
Daima mbeleNdio uwanja wa nani!? Jaza jaza nyama mkuu
Huku hakuna kuzira zira mkuu kupitia twitter kama yule wenuMjengaji GSM...
Na hayo matokeo yenu ya sare sare . sijui kama atajenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku hakuna kuzira zira mkuu kupitia twitter kama yule wenu
Samahani mkuu hivi ni sisi ndio tunawakatisha tamaa au wao ndio wanatukatisha tamaa kutokana na mambo yao wanayoyafanya daily?
Kwani huna habari manispaa ya Ilala hawakutoa kibali cha ujenzi??
Uwanja wa KMC unaojengwa Mwenge kwa gharama ya 3 bilioni...Chapa GSM na Taifa gas ($1 B Rostam+$500m GSM)watashindwa vipi kujenga kiwanja cha 3B kwa mfano...