gekaboy
Member
- Nov 27, 2021
- 49
- 103
Yani karbia asilmia 90% ya washabiki wa Simba wanasupport suala la timu Yao kwenda kuchezea amani Zanzibar kwa kigezo Cha wanapata shida ya kupata matokeo Azam complex.
Swali ninalo jiuliza mboona Simba queens wanacheza Azam complex na wanashinda, mbna timu ya madogo wanacheza hapo Azam complex na wanapata matokeo au huo uchawi ni WA Simba senior tu
Na je huo uwanja wa amani wanaushangilia wanahitaj kwenda ndio uwe home ground?, je wameshajiuliza , maana Zanzibar huko Simba kacheza fainali 11 na kashinda 4 tu kweny mapinduz na hata juzi tu kafungwa na timu dhaifu mlandege na hata game zake nyingi Simba imeshinda kwa shida mara goal moja mara matuta
Swali la kujiuliza shida ni uwanja au quality ya players? Mkipata jibu mtaacha huo uzuzu wa kulilia mbadilishiwe uwanja