Kigamboni sehemu yenye speed camera nyingi barabarani

Dodoma - Singida - Nzega napo ni balaaa….ukitoboa hicho kipande hujashikwa una Bahati. Napenda kukipita usiku juzi nimejidai kupita mchana nimedakwa sehemu tatu tofauti khaaaa…...mpaka Sekenke wapo tena siju wankaaa juu ya miti maana ile picha nilicheki nakacheka kwanza ilibidi niwe mpole kibao cha 30 nashuka zangu na 65 sina muda……...imepigwa kama zile za jiographia ……. topographical sijui
Hilo eneo ni Bora utembee usiku Tu maana tochi zake nahisi zinapigwa na majini au wachawi
 
Juzi niko kikazi nimewawashia taa kabisa namwona mmoja anapiga chabo kamera yake na mwenzie anaingia barabaran kunisimamisha!

Nikasema hawa tutakutana ofisini au waweke road block!
 
Hivi kwanini Kigamboni kuna camera nyingi barabrani za speed au ni kwakuwa nje ya DSM yaani unadrive kama unasafiri mkoani
Kigamboni hakuna traffic jam hivyo hufanya watu kuendesha magari kwa speed kubwa sana hali inayohatarisha maisha .
 
Back
Top Bottom