Mkuu, kiaje na kwa nini?
noted babu!Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:
Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!
Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!
Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!
Hapo mahali ni pazuri sana babu. Nitarudi tena siku moja.
Vya kazi gani? Ukiona picha siku ya pili utafunga safari ya kwenda huko.picha+source mkuu
Babu Kigali nilishafika, napanga kwenda Addis sasa. Kisha baada ya hapo nitachagua wapi kwa kuweka makazi kabisa baada ya kupitia vigezo nitakavyojiwekea.Duuuuhhhhhhhhh,
Nakuonea huruma.....ukirudi salama basi uwahi kwa shekh ukasomewe swala maalumu....
Kigali siyo mahali pa kwenda kabisa....
Sina hakika kama watu wananielewa....
Babu DC!!
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:
Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!
Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!
Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:
Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!
Ila mojawapo ya mahalia ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!
Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!
unajua sijajua kwa nini unapachukia mtu mzima mwenzangu....Mbona hunipi pole??
Unadhani ni haki kweli umri huu kuanza kupigwa na imagination kama unafloat kwenya sayari nyingine??
Nitendee haki basi mkubwa mwenzangu.....
Babu DC!!
karibu sana Kigali.Pale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Duuuuhhhhhhhhh,