PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chaumaccm au chaumaubwabwa imesokomezewa magalasa na mbowe yaani chama kinaenda kuwa chama cha majungu haijapata kutokea kwani G55 ni kikosi cha usengenyaji ni wapenda majungu sana, Mzee Rungwe jiandae kufa kwa pressure
Sasa niambie wapi pameandikwa kuwa hayo yote uliyosema ni dhambi au uvunjaji wa sheria!

Amandla...
 
Huku mrema mwizi huku Salum mwalimu mzinzi na mnafiki huku kigaila mmbea na majungu chama kitakalika?
Hayo uliyoleta si ndio umbea, majungu na futna kwa watu ambao hawamo katika chama chako?

Amandla...
 
Huo ni mseto wa majungu uzinzi wizi unafiki na mambo yote ya hovyo
Hakuna taasisi iliyokosa hayo mambo mawili, kwa watu waliosoma mambo ya uongozi wanayajua. Na ndio maana kwenye taasisi huwekwa codes of conduct lakini bado hayo hayaondoki. Hata kwenye taasisi za dini kuna departments za uzinzi.
 
Wadau wenyewe ni abdu na sisiemu kwa ushauri wa kifua kipana!
 
Si mseme tu wanachowaambia? Bila shaka wana mpaka ushahidi.

Ila kumbukeni fitna na kumshuhudia jirani yako uongo ni dhambi kubwa sana.

Amandla...
Mbona kimeshaandikwa sana humu Jamii!!
Watu tuliandika humu miezi miwili iliyopita kwamba kuna mazungumzo kati ya Spunda na CCM kwa ajili ya mapokezi ya G55.
 
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Duuu...kweli hawakuwa wapinzani wa kweli!
 
Sura ya Kigaila ukiiangalia vizuri kabisa inaonyesha ataweza kabisa kuinadi sera ya Ubwabwa
 
Mbona kimeshaandikwa sana humu Jamii!!
Watu tuliandika humu miezi miwili iliyopita kwamba kuna mazungumzo kati ya Spunda na CCM kwa ajili ya mapokezi ya G55.
Kumbe ni yale? Mnaendeleza yale yale ya kabla ya campaign bila ushahidi wowote.

Amandla...
 
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Hata sura tuu zinaonesha anadanganya sura inamuumbua kabisa
 
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Mpinzani anapingana upinzan ajabu ya tanzania
 
Vp boss mbowe nae yupo mbioni kuhamia chauma naww utamfuata boss kubwa.
Nitakujibu ingawa watu nisio wajua huwa siwajibu!

1. Tatizo la JF ni hili hapo.

2. Unatunga story kichwani mwako unaipa miguu kichwani mwako inasimama.

3. Ukiwa Rais utakuwa kama Samia unaambiwa kitu unameza kama dodoki!

4. Mbowe aende chauma kutafuta nini? Kuna watu wanalalamika wametolewa mwanza kuja kujaza ukumbi, leo Mbowe aende huko!

5. Nimeandika several times hapa kuwa Lisu was/is my favorite politician. I admire him very much as the whole "world" admires him, LAKINI MY CONCERN NI HII":

NJIA ALIYOTUMIA KUFANYA KAMPENI NI YA KIHUNI, SI YA KIUNGWANA KWA MWENZIE, RAFIKI, MWOKOZI WAKE KAMA MBOWE.
REMEMBER, HAD IT NOT BEEN FOR MBOWE, TO RULE OUT/DICTATE THAT LISU IS NOT GOING ANYWHERE OTHER THAN OVERSEAS HOSPITAL, LISU WOULD BE DEAD BY NOW!
 
Kumbe ni yale? Mnaendeleza yale yale ya kabla ya campaign bila ushahidi wowote.

Amandla...
Miezi miwili iliyopita ni kabla ya kampeni!!??
Miezi minne baada ya uchaguzi wewe bado una machungu ya kushindwa tuu!!??
Pole sana.
Let it go & live son.
 
Miezi miwili iliyopita ni kabla ya kampeni!!??
Miezi minne baada ya uchaguzi wewe bado una machungu ya kushindwa tuu!!??
Pole sana.
Let it go & live son.
Hakuna mtu mwenye machungu ya kushindwa. Nisichoweza kuwasamehe ni namna mlivyoendesha kampeni yenu. Na kwa maoni yangu ilikuwa ni pyrrhic victory. Na ndio mmeanza kugundua hilo.

Amandla...
 
Sera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.

Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.

CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
Duuh hadi wewe? mbona unakuwaga mwelewa umekuwaje hivi sasa? Ooh poor Tanzania

CHADEMA wapo sawa kuwafuatilia CHAUMMA kwa sababu sera kubwa ya CHAUMA ni kuhusu CHADEMA, yaani ni chama cha kimkakati cha CCM kinachotumika kutaka kuidhoofisha CHADEMA.

Nadhani ni rahisi namna hiyo
 
Back
Top Bottom