raass
Senior Member
- Feb 5, 2014
- 112
- 39
Hicho kifurushi nakisikia tu hv unaweza kudownload videos au ni mwendo wa texts tu?
ni texts tu. hakuna cha image wala videos
Hicho kifurushi nakisikia tu hv unaweza kudownload videos au ni mwendo wa texts tu?
Viatel mkombozi anakuja.
Kila siku huwa nasema hapa tigo ni mtandao wa watu wanaopenda vya bure bure hivi wasio na haraka, wanaotegemea vi offer offer vya mtandao.
Huwezi kua mtu una akili sawasawa ukatumia laini yao, ona sasa eti bando la watsap,kesho bando la badoo,we chat nk.
Na vodacom ndo wezi kama nini, ntaacha kutumia simu muda si mrefu
ni texts tu. hakuna cha image wala videos
Hawafai mbuzi hao, juzi nmejitutumua nikaweka kavocha ka buku 2 nashangaa imekatwa yoteMbona nilitaka kuhamia vodacom?
Sasa twende wapi?
Ungekua smart zaidi ungekua na kampuni yako ya cm sio kusifia za wanaume wenzako.
Kwa wasiotaka mabadiliko watang'ang'ania tigo ila kwa sasa zantel ndo mpango mzima mpaka basi ya tshs.350 napata dakika 6mitandao yote ila na mb za kumwaga
Ni kweli kuna haja sasa tuhamasishane tujiunge na Zantel maana mitandao mingine yote mimi naona ni majambau tu, hayana tofauti, siyo tigo, vodacom wala Airtel. Yote mijambau tu
Kwa wasiotaka mabadiliko watang'ang'ania tigo ila kwa sasa zantel ndo mpango mzima mpaka basi ya tshs.350 napata dakika 6mitandao yote ila na mb za kumwaga
Kwa wasiotaka mabadiliko watang'ang'ania tigo ila kwa sasa zantel ndo mpango mzima mpaka basi ya tshs.350 napata dakika 6mitandao yote ila na mb za kumwaga
Mm nazani kampuni ya Whatsapp Ingezinduwa laini zao za Simu mana watumiaji tuko wengi. Hii itatusaidia kupunguza gharama Za kununua MB.
AU WADAU MNAONAJE ?