Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Hawafai mbuzi hao, juzi nmejitutumua nikaweka kavocha ka buku 2 nashangaa imekatwa yote
nlichukia nkawapigia wananijibu eti nlikopaga sijui trh 20, voda nnaowajua mie ukiwa unadaiwa ukiingiza vocha kabla hata hujamaliza namba zote tayari ishakatwa, leo hii nikae na deni naweka vocha kila siku wasikate mxyuuu
nkaweka tena vocha kwenye line nnayotumia kwa internet wakakata...wezi sana hawa nshawachoka
Na hao wahindi wa airtel?