Kifurushi cha Whatsapp, Tigo wana njaa hakuna mfano!

Kifurushi cha Whatsapp, Tigo wana njaa hakuna mfano!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Eti kifurushi cha whatsApp, baada ya muda nadhani wataleta na cha Google, Youtube na Jamiiforums.

How come I have to pay for browsing a certain app? Hii nchi bora ningezaliwa kasuku Ulaya.
 
Na bado miswada ya maana inapitishwa kibabe huko bungeni. Hii ndio serikali SIKIVU ilipotufikisha.
 
Kila siku huwa nasema hapa tigo ni mtandao wa watu wanaopenda vya bure bure hivi wasio na haraka, wanaotegemea vi offer offer vya mtandao.

Huwezi kua mtu una akili sawasawa ukatumia laini yao, ona sasa eti bando la watsap,kesho bando la badoo,we chat nk.
 
Zile MB wamepunguza tena hapa nikuhamia ZANTEL tu
 
Kwa wasiotaka mabadiliko watang'ang'ania tigo ila kwa sasa zantel ndo mpango mzima mpaka basi ya tshs.350 napata dakika 6mitandao yote ila na mb za kumwaga
 
Na bado miswada ya maana inapitishwa kibabe huko bungeni, mbona utatamani kuwa kiyesi kabisa cha mzungu, hii ndio serikali SIKIVU ilipotufikisha.

ha!ha!ha!ha!ha,kinyesi kabisa?,mimi bora ningekuwa Kambwa ka Mdhungu.
 
Hicho kifurushi nakisikia tu hv unaweza kudownload videos au ni mwendo wa texts tu?
 
mnapenda vitu rahisi sanaa,,uwezo wa kununua bundle hamna mnarahisishiwa huduma kwa bei rahisi mnalalamika
 
Mbona hiyo ni nzuri kwa watumiaji, yani Buku Mbili kwa mwezi. Pia inategemea ww internet kwenye simu unatumia kwa matumizi gani. Jamii forum BURE, Facebook Bure mtu anaongezea na Whatsapp kwa BUKU MBILI maisha yana kwenda.
 
Kwakweli bora barua tu na stamp yangu ya jero sina tatizo
hawa voda shwain kabisa sitaki hata hizo huduma zao sijui nipige jeki sijui nipige tafu siwataki kabisa

Haha wait mpaka hii kampuni mpya ije naskia ni mkombozi vietel cjui nn wanaita. Ikishindikana apo baaas
 
we angalia hata wateja wa tigo kama ni watu wanaojielewa.
 
These people are so intelligent they know to attract careless and illiterate people into their business super profit making
 
Back
Top Bottom