Kifo noma

myfun

Member
Oct 4, 2012
8
0
Familia ilivamiwa na majambazi yakapanga kuwaua wote lakini kabala ya kuwaua. Yakawauliza maswali. JAMBAZI:wewe unaitwa nani. MKE:Elizabeth. JAMBAZI:umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu eeeh na wewe unaitwa nani. MUME:Naitwa John lakini kazini wananiitaja Elizabeth pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom