Roho ni nini?Kifo si kitu bali ni utengano kati ya mwili na roho
Ni kama chaji ktk simu "umeme" yenyewe haijitambui bali hutenda tu, ikiwa kwenye simu itatenda kisimu na ikiwa kwa friji itatenda kifriji sivyo?Soul is energy.. It can neither be created no destroyed