KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga.

Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%

Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo!

Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu).

Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa.

Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili, michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana, ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral 😊, cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.

Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji, kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki, kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia, mlolongo mrefu usiokuwa na maana, tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa, na Gharama zikiongezeka mara dufu, michango ya harusi, unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days, sherehe zikiisha usku wa manane na kutengeneza kichaka cha uzinzi na uasherati. Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka.

Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha, wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa.

jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu, kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo, nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei, alifariki sa 12 jioni, kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu.

Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tu, akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop, badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40.

Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi, Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tu, Miriamu akafa huko akazikwa huko, kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko, thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe, na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu.

Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito, maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali, kanisani, mara ukumbini, atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya, maiti atasafrishwa, kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui, mpak anazikwa, basi ashasababisha taabu kuu, watu wamelia mpak machozi yamekauka, utapeli wa madaftari ya michango rambi rambi ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi.
 
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...

Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayowezeza kuifuata biblia hata Kwa 50%

Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy , au yamechepushwa kimaksudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!

Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!

Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!

Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.

Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!

Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .

jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki , hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkrugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama skosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!

Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...

Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....

Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Ukweli mchungu

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Najazia, mimi ni mkristo, ninayoshuhudia makanisani siyo yale tuliyofundishwa kwenye maandiko, ninachokiona sasa ni bora mtu ujifungie kwenye chumba chenye utulivu na kumuomba Mungu wako, kisha ukawasaidie masikini, wajane, wagonjwa na yatima, Mungu wa mbinguni atakupa thawabu kuliko kwenda kushiriki biashara haramu ya kupora fedha za watu kwa kisingizio cha sadaka
  1. Kuna vitu viwili vinaitwa ubatizo na kipaimara, mawili haya yamekuwa biashara hivi sasa huko makanisani, Yesu kristo alibatiza bureeee!!! Lakini hivi sasa unajazishwa form kwaajili ya ubatizo au kipaimara, hizo fomu zinawekewa viwango vya pesa ya kulipa bila kujali ni mtu wa kipato cha chini au cha juu, usipoweza kulipa basi mtoto habatizwi na kijana hapewi kipaimara.
  2. Kwenye mazishi, kunatangazwa sadaka, mwisho wa siku sadaka ile inatajwa kuwa nauli ya kiongozi wa ibada ya mazishi, ni wizi mtupu.
Ukristo umekuwa biashara hivi sasa, wenye pesa ndiyo wanahudumiwa haraka zaidi kiroho kuliko masikini
 
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...

Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%

Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!

Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!

Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!

Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral 😊
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.

Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!

Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .

jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!

Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...

Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....

Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Kwa kiasi chake uko sawa yanahitajika mapinduzi makubwa ya kifikra mambo mengi kwenye harusi na maziko ni ya kujitakia hayana umhimu wowote.
 
KAMA MKRISTO KINDAKINDAKI,

NAKUMBALIA NAWE KWENYE HILI

1.MAREHEMU HATA AKICHELEWESHWA VIPI, AKAOMBEWA VIPI, NA KAZIKWA KWENYE JENEZA LA BEI GHALI KIASI GANI. HAIPI HAKI YA KUWA MTAKATIFU,NA MOTO HAWEZI KUKWEPA.

2.HARUSI
MAHANGAIKO NI MAKUBWA,GHARAMA NI KUBWA.NA NDOA ZINAVUNJIKA KWA IDADI KUBWA VILEVILE
ANASA ZA KISHETANI,WANATOKA KANISANI WANAKWENDA UKUMBINI KUCHEZA NA KUBINUA MAT.AKO NA WACHUNGAJI WAKIWEMO HUMO HUMO.
 
KAMA MKRISTO KINDAKINDAKI,

NAKUMBALIA NAWE KWENYE HILI

1.MAREHEMU HATA AKICHELEWESHWA VIPI, AKAOMBEWA VIPI, NA KAZI KWA KWENYE JENEZA LA BEI GHALI NANI GANI. HAIPI HAKI YA KUWA MTAKATIFU,NA MOTO HAWEZI KUKWEPA.

2.HARUSI
MAHANGAIKO NI MAKUBWA,GHARAMA NI KUBWA.NA NDOA ZINAVUNJIKA KWA IDADI KUBWA VILEVILE
ANASA ZA KISHETANI,WANATOKA KANISANI WANAKWENDA UKUMBINI KUCHEZA NA KUBINUA MAT.AKO NA WACHUNGAJI WAKIWEMO HUMO HUMO.
Tb Joshua hakuhudhuria kwenye harusi ya mwanae yakaibuliwa mengi

Ukristo wa sasa Ni pasua kichwa
 
Kwetu sisi waislamu Madhumuni ya jumla ya ndoa ni kwamba jinsia zinaweza kupeana ushirika, kupendana, kuzaa watoto na kuishi kwa amani na utulivu kwa amri za Mwenyezi Mungu. Ndoa hutumika kama njia ya kujitosheleza kihisia na kingono na kama njia ya kupunguza mvutano wa nafasi. Harusi kwetu sisi ni sherehe rahisi, ambayo ili ikamilike inahitaji mashahidi wawili kwa makubaliano yaliyotayarishwa. Pia mwanamke lazima awe na walii (muwakilishi wake ima baba yake au kaka yake). Kwa kawaida, ndoa huwa ni kusoma hutuba kutoka katika Qur'an, na kubadilishana viapo mbele ya mashahidi kwa washirika wote wawili. Yanayofuata baada ya hapo huwa ni matakwa ya watu lakini ndoa tayari inakuwa imekamilika.
 
Kuna rafiki yangu ni mkristo alifunga ndoa ya kawaida tu bila gharama kubwa anajua dini na anasali sana yeye ni mtu wa maandiko ila hapendi mabishano ya kidini

Aliita mashahidi kama wawili mchunganj tena ilikuwa jumapili wazazi na Washenga kama watu 12 ivi basi alioa mwaka 2016 ndo ipo mpaka leo
 
Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki , ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga ...

Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu wamekuwa waaminifu kuendana na dini Yao angalau Kwa 75% Ila Kwa wakristo kumekuwa na kata funua nyingi , hasa Kwa viongozi wa dini , utitiri wa madhehebu , na taasisi za kiupigaji japo Biblia haihalalishi kile wanachokifanya...ni madhehebu machache yanayoweza kuifuata biblia hata Kwa 50%

Kuna mambo mawili kwenye dini ya kikristo ni wrong copy, au yamechepushwa kimakusudi na genge la watu fulani , na karbia madhehebu yote ya kikristo yanaona huo ndo mfumo sahihi , hata hvyo kiukweli hata Biblia yenyewe haikubaliani nayo...!!!

Jambo la Kwanza ni mfumo wa Sherehe za harusi na Jambo la pili ni mfumo au taratibu za kuwahifadhi wapendwa wetu wanaopumzika (wafu) ....!!

Sina uzoefu na dini ya kiisilamu , hata hvyo kuishi kwangu Tanga Kwa mda fulan kulinipa uzoefu fulani, hvyo kama nitakosea au kwenda kinyume basi nakubali kusahihishwa ....!!

Ndoa za kiislamu Swala la Harusi sio first priority, wapo wachache wanaoweza kulipigia chapuo, hata hvyo waislamu wamekuwa waaminifu Kwa hili , michango ya Harusi isiyo na uhalisia na yenye kuumizana na kutupiana lawama Kwa waislamu hii ni asilimia kidog Sana ,ndoa za mikeka Kwa ubani wa 300 nimezishuhudia several times na familia zao zimekuwa zikienda viral 😊
Cha msingi kuwe na kipunga na ngoma mbili tatu basi lyfe linaenda.

Kwa wakristo ndoa imegeuzwa kuwa mtaji , Kwa asilimia kubwa ndoa bila Harusi kubwa na vinono hyo ni kama haitambuliki , kumekuwa na masharti kibao kwenye kuchumbia , mlolongo mrefu usiokuwa na maana , tozo nyingi Kwa ajili ya mchungaji anayefungisha ndoa , na Gharama zikiongezeka mara dufu , michango ya Harusi , unywaji wa pombe uliokithiri na anasa za kila namna ukumbini ndo fashion now days , Nina uhakika Mungu hakubaliani na huu ujinga, thus why ndoa nyingi za kikristo zimekuwa zikiishia kwenye maumivu yasiyoelezeka....!!!

Vijana wengi wa kikristo wameishia kuoa kinyemela ili kuepukana na hii adha , wengi wanaishi gheto na mabinti na maisha yanaenda hata hvyo viongozi wa dini huwachukulia kama waliolaaniwa .

jambo la pili ni swala la kuwahifadhi ndugu wanaofariki, hapa pia ni vurugu tupu , Kwa waislamu msiba ni swala zito , na maiti inatakiwa ihifadhiwe kaburini haraka iwezekanavyo , nilishuhudia kwenye msiba wa mkurugenzi wa uwanja wa ndege wa Nyerere kama sikosei , alifariki sa 12 jioni , kesho akazikwa mapema iwezekanavyo, Baba mzazi wa GSM alifariki usiku na Kesho yake akazikwa ..na watu wengine maarufu imekuwa ndo utaratibu...!!

Biblia pia inakubaliana na utaratibu huo , mara nyingi wafalme wa Isarel walipokuwa wanafariki Biblia ilisema sentensi moja tuu , akafariki akazikwa kwenye makaburi ya kifalme full stop , badae yanafanyika maombolezo mara nyingi ilikuwa sku 40...

Kifo cha kuhani mkuu Haruni na nabii Mussa kule jangwani pamoja naa mazishi yao kinaonyesha namna Mungu asivyokubaliana na kuchelewesha mazishi , Kifo cha Miriamu aliyekuwa mtu mkubwa Sana Kando ya Musa na Haruni biblia inatoa sentesi moja tuu , Miriamu akafa huko akazikwa huko , kuchelewesha mazishi kunaongeza machungu Kwa wanandugu na pia kushawishi Ibada za kishetani na matambiko , thus why Musa na Haruni walizikwa haraka iwezekanavyo tena chini ya Mwenyezi Mungu mwenyewe , na makaburi Yao yalifichwa ili kuepusha akili mbovu za binadamu kufanya yasiyompendeza Mungu....

Kwa wakristo wa sa hv Misiba ni mzigo mzito , maiti itazungushwa weee, kuanzia hospitali , kanisani , mara ukumbini , atasubiriwa sijui ndugu gani yupo ulaya , maiti atasafrishwa , kule akifikishwa na penyewe inaanzishwa Ibada fupi sjui , mpak anazikwa , basi ashasababisha taabu kuu , watu wamelia mpak machozi yamekauka , utapeli wa madaftari ya michango ushafanyika vya kutosha huku familia ikiachiwa mzigo mzito wa madeni ya Gharama za mazishi ..!!!
Moja ya vitu ambavyo uislamu unataka vifanyike kwa haraka wakati ukifika ni ndoa na kuzika. Sababu kubwa ni kuepusha fitna ya dunia na maaswi
 
Back
Top Bottom