Kweli mkulu kuhusiana na neno "Mshtuko" swali linakuja hapo kwenye "sana"
Lazima kuna jambo lililopelekea mh Rais "kushtuliwa sana"
pia usisahau "kanjanja style"................na watu wanapeta tu.................
Kweli mkulu kuhusiana na neno "Mshtuko" swali linakuja hapo kwenye "sana"
Lazima kuna jambo lililopelekea mh Rais "kushtuliwa sana"
Kweli kabisa... kila kinapotokea kifo na akalazimika kutuma salamu za rambirambi ni lazima atasema hivyoManeno ya kisiasa tu hayo, huenda hata huyo MEMBE AMEAMBIWA atangaze tu chochote atakachoona kinafaa kwa wananchi juu ya tukio hilo...Hapo penyewe labda anaulizia wasaidizi wake kama aende kwenye huo msiba ama la!
Hahah Jk bhanaKikwete alishashtukia vile videge tunavyouziwa na kina Vithlani vitakuja kumtosa, mara nyingi huwa anapanda ndege za kawaida za abiria.
Hahahha Jf Bhana JK anajisomea coments tuunamshauri asisafiri sana kwenye kipindi hiki karibia na uchaguzi, huyu huyu si ndo yule alikuwa anadondokadondoka hovyo pale jangwani kipindi cha kampeni yake ya kwanza, wale maadui wake wa zamani bado wapo au? ni bora awe makini....ikiwezekana aokoke kabisa ili Mungu amsaidie.