Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kalembo,mpowora nini au njenga,pande za ndolo,njenga juu,likamdobe,liputu mwena,mkalapa mote humo.
acheni kejeli kwa raaisi misiba yote aliyoenda alikuwa na link nayo na siyo kama anajiendea kama mnavyopakaza, hata kama wewe mgonjwa unamwangaikia na kumhudumia ukasikia kafariki utaacha kwenda for few minutes kuzika kwakuwa una cheo?iko cheo chako utazikwa nacho? we need to grow up , hii nchi haitoendelea kwa fitna na majungu.
Sasa mkubwa mimi sijajuwa vigezo vinavyotumika kwa Raisi kwenda kuzika, mimi huwa naonaga tu anakwenda kuzika sijawahi kujuwa kwamba anawasaidiaga matibabu. By the way huwa anasaidia matibabu toka kwenye hela zake binafsi au serikali? Na je kwa jibu lolote hapo juu ningependa kujuwa vigezo ili hawa wasanii wa huku vijijini nao watumie hii fursa, who knows labda huyu bwana Kalembo angeweza kupona.