Kifo Cha Mende...

Mende "wanakufa" vile kwa sababu "wanasikia raha" kufa vile
 
tatizo la mende akilala chali anajisikia raha sana na mapigo yake ya moyo yanamwenda mbio kwa hiyo anajikuta amedead
 
Shida ya baadhi ya watu ukizungumzia sebule yeye anawaza sofa lilipo ndani!
Haya bana, lakini kifo cha mende sijui nao tunaweza kuuita muujiza?
 
Hata wanyama KOBE na KASA ukiwapindua mgongo chini migu juu kwenye sehemu ya uwazi hawana uwezo wa kujigeuza, na mwisho wake hufa kifo cha mende miguu juu!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom