Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,751
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na habari kwamba kampuni iliyopewa kibali na mahakama kuuza mali za mwanaharakati huru mzalendo wa kweli asiyependa ufisadi bwana Cyprian Musiba ili kumlipa billion 9 mzee wa kuingia dakika ya 89 halafu akaishia kufanya kampeni za urais kwenye kijiji cha Rondo, ambaye anajulikana kwa kutoacha legacy yoyote kwenye utumishi wake bwana Bernard Membe imepigwa stop na watu wasiojulikana!

Ni nani anayelinda mali za Musiba?

20230503_094150.jpg
 
Halafu tunasema hii nchi tunamahakama
Huwezi jua labda kuna mapingamizi mapya huko Mahakamani, lakini bado kisheria hayo mapingamizi hayazuwi utekelezaji wa hukumu, labda Kama Musiba kapata zuwio kutoka CA,hapo ndiyo utekelezaji wa hukumu unaweza simamishwa na madalali! Mengineo ni just ku by time!!
 
Back
Top Bottom