Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Anaenifata sasa ndo cjui hata wanaish wapi na ushangae wote tupo dar ila kila mtu na 50 zake hao wengne ndo hata cjui waume zao had kuna mwingne tulirushiana ngumi kisa amelewa badae natumiwa picha whatsp kuwa shemej yako kaumia kuangalia sura ilibd kwanza nikae chn nicheke ila tuliyamalza kiume. Mda mwing tumekua tukipshana wakija home sipo so Daudi1 yupo sawa kabsaa kamlishe huyo hata ikiwezekana mfulishe kabsaa
 
Huyo dada yako wewe sio km dada angu mimi miana amor mtoto kazaliwa faransa uko,
yupo bongo bahati mbaya,
mambo yake ya ulaya ulaya.
 
Huyo Daudi1 wako amejikuta tu yupo dadaangu, wala sio type yake kabisa yaani mpaka leo hajuwi amempataje! akibugi kidogo tu anaachwa.
 
Aweeeee mm kwangu hakuna kulima wala kuvuna,kwangu ni kula na kulala na mpk ela ya bando ntakupa
 
ndo utajua hujui sasa na ufaransa huo yey atakwambia sorry bro tayar ushalimishwa na hapo shemejio anakomalia kuwa unafanya mazoez. Kwa dada kaa masaa sepa hata bila kuaga
We usimfundishe mdg wangu tabia mbaya🤣🤣
 
Huyo Daudi1 wako amejikuta tu yupo dadaangu, wala sio type yake kabisa yaani mpaka leo hajuwi amempataje! akibugi kidogo tu anaachwa.
ataachwa baada ya kuwa katumika sana na ujue mwanamme hazeeli ndo pale mzee wa miaka 60 anaoa ke wa miaka 25 sio kesi ila sasa mwanamke wa miaka hata 50 kuolewa na me wa miaka hata tuseme 40 kila mtu atajua sio tv, radio magazeti vyote vitakutangaza na hata asiyekufaham atakusimanga kivyake bro upo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…