adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,694
- 8,018
Stor ilifikia pazuri sanaBora aufute tu.
Siku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amorUzi hauendi kunani
Wamepotea...πππau wapo majimboni kuchukua formSiku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amor
Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaaNdg mwandishi jini amepita na wewe nini. Au ndio unapanua njia ya jessinia
Tunakuwa na arosto kama wavuta unga.Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Eeeh cha chumbani ndo kitamuSiku hizi chakula tunalea chumbani, tabia hizo nimefundishwa na shemeji Daudi1 na mke wake miana amor
Tupo ila tupo bize na kujaza fomu mwenyekiti Daudi1 Anataka kuwa mbunge ivo msisite kumpa kura zenu ndugu zangu na mkimchagua mabomba yenu yatatoa maziwa na asaliππWamepotea...πππau wapo majimboni kuchukua form
Msiwe na shaka Abou Shaymaa ametekwa kidogo na jini seniπ π πHata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Aje mambo ni mengi sasaπππMsiwe na shaka Abou Shaymaa ametekwa kidogo na jini seniπ π π
Hahaha maziwa na asali za Mbogo_Land isije kuwa pomoni na Mzee Ngojopa...πππTupo ila tupo bize na kujaza fomu mwenyekiti Daudi1 Anataka kuwa mbunge ivo msisite kumpa kura zenu ndugu zangu na mkimchagua mabomba yenu yatatoa maziwa na asaliππ
Ngoja niwasaidie kumuita Abou Shaymaa kwann lkn unatufanyia hivAje mambo ni mengi sasaπππ
Pole jiran π π πUraibu mwingne shida tupu. Yaani nimechungulia humu hadi shingo linaniuma
Njogopa mzee wa kimoja chaliπ€£π€£Hahaha maziwa na asali za Mbogo_Land isije kuwa pomoni na Mzee Ngojopa...πππ
Mwaasijambo
saa 10:10am alichungulia akasepa.Hata mimi nashangaa siku ya 3 leo hii kimyaaa
Nakaziamuandishi nakusihi usitume tena story yako, ni kama tunazidi kuisahau siku zinavyoenda