miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Kama mm nimeanza kudai talaka na ww ndo unaanza kuita wanawake wenginesi umeanza kudai talaka yako, umejazwa upepo nawe ukajaa
Kama mm nimeanza kudai talaka na ww ndo unaanza kuita wanawake wenginesi umeanza kudai talaka yako, umejazwa upepo nawe ukajaa
Kwani wewe kudai unamaanisha nini?Kama mm nimeanza kudai talaka na ww ndo unaanza kuita wanawake wengine
Mm nilikua nakutania tu ata sikua namaanisha km kweli nataka talaka😁😁Kwani wewe kudai unamaanisha nini?
Hata mimi nilikuwa natania tu, napima uelekeo wa upepo, kumbe wanipenda hahahaha, ile dawa kibokoMm nilikua nakutania tu ata sikua namaanisha km kweli nataka talaka😁😁
Kwa staili mm nipe tu talaka yangu
Talaka lazma atoe hata kama kishingo upande
Nipo Mkuu,nafatilia kimya kimyafinyango umepotea ghafla
Usiwe na shaka bibie...sisi wana kijiji ndo majirani zenu..so Daudi yuko sawa kutuulizia ila...si mnaona mnavyosaidiwa na majirani?Kama mm nimeanza kudai talaka na ww ndo unaanza kuita wanawake wengine
leo dada ananipenda sema anaogopa macho ya watuMwenyekiti mwenyekiti
Lazima nihakikishe majirani zangu kama mmeamka salamaUsiwe na shaka bibie...sisi wana kijiji ndo majirani zenu..so Daudi yuko sawa kutuulizia ila...si mnaona mnavyosaidiwa na majirani?
Hizo rasta utanyoa upara miana amor ni wangu na hakuna mwenye uwezo wa kumchomoa kwangu labda wasubiri nifehapo Daudi1 kazi anayo kwa hili akitoboa nanyoa rasta zangu
Na ukifa unageuka kua mzimu yoyote atakae nisogelea unamtokea🤣🤣🤣Hizo rasta utanyoa upara miana amor ni wangu na hakuna mwenye uwezo wa kumchomoa kwangu labda wasubiri nife
waache wajichanganyeNa ukifa unageuka kua mzimu yoyote atakae nisogelea unamtokea🤣🤣🤣
Lazima niwe na wasiwasi bhn mkimchukua mwenyekiti wangu Daudi1 Ulanzi na nyama choma ntapata wapUsiwe na shaka bibie...sisi wana kijiji ndo majirani zenu..so Daudi yuko sawa kutuulizia ila...si mnaona mnavyosaidiwa na majirani?
nilikua natania mzee baba heshma kwenu wew Daudi1 na miana amorHizo rasta utanyoa upara miana amor ni wangu na hakuna mwenye uwezo wa kumchomoa kwangu labda wasubiri nife
kwahy fresh etHaya bwana acha niishi humo.