Single The Loner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 820
- 1,391
Sasa iv anamfukuzi leo dada
Sasa iv anamfukuzi leo dada
Sawa naomba mvua ya buku 2 kwanza nione.Hapo haujanipata, ukiendelea nakishushia mvua sasa hivi
makubwa ati ya sh ngapiSawa naomba mvua ya buku 2 kwanza nione.
Nimemwambia asikutishe ww ni shemeji yakeSawa naomba mvua ya buku 2 kwanza nione.
Muda wakuongea na shemeji yako umesha ishaHapo haujanipata, ukiendelea nakishushia mvua sasa hivi
Na mimi sikubali dadaangu lazima aachane na hako kajamaa, nataka nimpeleke kwa mganga wa hamisa mobeto.Kumbe we mchawi Daudi1 hata huyo mrembo kumbe ulitumia mziz kumpata sas subiri cku hilo dawa litaisha hutomuona tena yan mtachukiana na miana amor ya kufa mtu
Mi na huyo hatujawahi kukaa kuongea, mi naona tunafokeana tu.Muda wakuongea na shemeji yako umesha isha
sister na wewe si udai talaka ili umtishe.Nimemwambia asikutishe ww ni shemeji yake
Yaan we acha tu, alivuta kwa dawaKumbe we mchawi Daudi1 hata huyo mrembo kumbe ulitumia mziz kumpata sas subiri cku hilo dawa litaisha hutomuona tena yan mtachukiana na miana amor ya kufa mtu
Kesho mapema tu naamka nalo ilo Daudi1 Talak utatoa utoisister na wewe si udai talaka ili umtishe.
ndo maana anajitapa sana. Sasa mm ntakwambia cha kufanya uwe huru ila usimwambie sawaYaan we acha tu, alivuta kwa dawa
usisumbuke na mambo na waganga mm ntakusaidia bure. Ww tafuta machoz ya mbu jike kilema kijiko1 mambo kwishaNa mimi sikubali dadaangu lazima aachane na hako kajamaa, nataka nimpeleke kwa mganga wa hamisa mobeto.
Utakua umenisaidia sanando maana anajitapa sana. Sasa mm ntakwambia cha kufanya uwe huru ila usimwambie sawa
Kheeeeeee ayo machozi ya mbu nayapata wap??😅😅😅usisumbuke na mambo na waganga mm ntakusaidia bure. Ww tafuta machoz ya mbu jike kilema kijiko1 mambo kwisha
kuwa mpole Daudi1 mambo yanachemka miana amor kadai kuwa iyo ela ya uenyekiti huipati halaliWatakuponza shauri yako miana amor
yakipatikana hayo mambo yako yatanyooka miana amorKheeeeeee ayo machozi ya mbu nayapata wap??