Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Dah! yaani mimi ningekuwa Tumwesige senior ningekugeuza chupa ya chai sasa hiviusinifananishe mi na huyo timbulo Tumwesige senior.
Dah! yaani mimi ningekuwa Tumwesige senior ningekugeuza chupa ya chai sasa hiviusinifananishe mi na huyo timbulo Tumwesige senior.
si ulisema uko ukweni kwetu ni vigagura! nakuja na mimi wanifundishe kurusha ndege za usiku.Weeee kaka angu anajua kupiga saundi bhn dada ako atochomoa apo ila sisi tunahakikisha tunampa limbwata ili asije kumuacha ndugu yangu
maneno matupu hayavunji mfupaDah! yaani mimi ningekuwa Tumwesige senior ningekugeuza chupa ya chai sasa hivi
ongea kila kituusinifananishe mi na huyo timbulo Tumwesige senior.
nateswa na niniHahaha mpaka chupi kugoma kuvalika hii ni hatari sana, bwana Mopak hiyo dawa hebu msaidie kijana wako Tumwesige senior anateseka sana
mapenzi ya kweli hayaitaji dawa cjui nn. Yeye atoe sera kwa mrembo na baadhi ya manifesto za uongo kama mwanasiasa kazi kwisha. Huoni mwanasiasa yeye anadanganya maelfu ya watu na wanamkubali sembuse mrembo mmoja tu yan hapo amwambie kuwa waende nyumbani kwao kuangalia hata mbuzi alie na macho matatu wakifka home amwambie kuwa ili amuene hadi uck demu atakaa hapo kutaka ajiridhishie hapo namkwambia kaz kwisha kesi badaeHahaha mpaka chupi kugoma kuvalika hii ni hatari sana, bwana Mopak hiyo dawa hebu msaidie kijana wako Tumwesige senior anateseka sana
mipango sio matumiziushaanza kupiga mahesabu yako usije ishia kama rafiki yako Tumwesige senior
hapo ndo tatizo lilipo, usiku ukifika badala ujitahidi ili dadaangu aanze kula udongo! we upo bize kujifunza kugeuza watu chupa ya chai!! unasubiri mi nizae na dada yako ili uwatume wapwa zake.Dah! yaani mimi ningekuwa Tumwesige senior ningekugeuza chupa ya chai sasa hivi
wala hamnaUna wivu sana, dada yako tu wamuonea wivu, nikikupa dada yangu utaumiza sana vijana kama akina Tumwesige senior hapa mtaani
kwani uwongo!! we haujamshindwa dada yangu?.ongea kila kitu
Unamzalisha km wapembatena sitamchelewesha nataka ndani ya miaka 2 tayari awe amezaa watoto watatu.
akija hapa uniite tumpe fix aingie booth kwan sku hizi wamegoma ati hawataki kuingia box linachanikanateswa na nini
Sasa iv anamfukuzi leo dada 😂😂kwani uwongo!! we haujamshindwa dada yangu?.
😂😂😂au kuku wa kijanDah! yaani mimi ningekuwa Tumwesige senior ningekugeuza chupa ya chai sasa hivi
Wanaloga hawa hatariiiisi ulisema uko ukweni kwetu ni vigagura! nakuja na mimi wanifundishe kurusha ndege za usiku.
😅😅😅😅mapenzi ya kweli hayaitaji dawa cjui nn. Yeye atoe sera kwa mrembo na baadhi ya manifesto za uongo kama mwanasiasa kazi kwisha. Huoni mwanasiasa yeye anadanganya maelfu ya watu na wanamkubali sembuse mrembo mmoja tu yan hapo amwambie kuwa waende nyumbani kwao kuangalia hata mbuzi alie na macho matatu wakifka home amwambie kuwa ili amuene hadi uck demu atakaa hapo kutaka ajiridhishie hapo namkwambia kaz kwisha kesi badae
nadandia miti ya miibaTumwesige senior anadandia tu kila mti, bahati mbaya mti unateleza
swaga za mwaka 47mara oooh nikikata tonge nakuona kwenye ugali hata wewe Tumwesige senior ungekubali hizo saundi?