Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Swala la kumchangia msimuliaji ni muhimu sana kama alivyo sema yeye ili amudu ghalama zake: Na sio swala la kumdhihaki mtu:

Duniani hakuna Cha bure wala Cha wageni:
 
Hahaha sasa si umemlipa msimuliaji?? nilipe na mimi niwe msimuliaji wako hahah
We jamaa unapenda sana ligi:
Pale juu umesema nikulipe ili unisimulie:
Ndio nakuuliza unataka nikulipe kiasi gani ili uifanye hiyo kazi, badala ya msimuliaji?
We sema tu utalipwa:
 
We jamaa unapenda sana ligi:
Pale juu umesema nikulipe ili unisimulie:
Ndio nakuuliza unataka nikulipe kiasi gani ili uifanye hiyo kazi, badala ya msimuliaji?
We sema tu utalipwa:
Mwenyekiti Daudi1 changamkia fulsa hii tupate ela yakunywea ulanzi😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom