Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Hahaha Seni sio jini bali jamii ya kipemba ndio inamtambua kama jini ingawa bado hawajamjua kama ndiye yeye mhusika mkuu. Ngoja twende mbele tutaona tu
Mm ndo nilitaka nishangae jini gan lina nyashi kubwa😅😅😅, anatumia uzur wake kuwateka vijana kimapenzi alf kaka mkubwa ussi anawamaliza kirahisi
 
Hata pale babayake amemwambia akalete simu ili ampigie afande kumuuliza kama aliangalia CCTV nazan ni code alipewa ussi ili katoe tape ta CCTV maana alichelewa sana
 
Kwa hiyo unatu
Kwa hiyo unatuona sisi ni nini?Eric jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…