Ndio tunajadili hapaHuyu jamaa kaenda wapi??
Ndugu mwenyekiti nashukuru kwa kunipa fulsa hii hadhimu yakumpigia simu ndg yetu Abou Shaymaa wacha sasa nimlegezee sauti ili aseme shida ni nnNdugu wajumbe, ni siku ya pili tunalala usingizi wa mang'amang'amu, wengine wakichungulia na wengine wakiingia kabisa, na hatujapata taarifa yoyote kutoka kwa Bwana Abou Shaymaa mpishi wetu, pengine kuna jambo limempata au kuna tatizo.
Natoa maagizo miana amor hebu mpigie simu kwa sauti ya asubuhi asubuhi ile tamu lakini usiilegeze sana hebu fanya kama unamjulia hali
Hatujamuona mpishi wetu Abou Shaymaa jini lisijekuwa limefanya yake sisi tupo tu, kuna majini yananyonya vyote, achilia mbali jini sen linalonyonya damu tuNIKO HAPA SASA
🤣🤣🤣jini seni lenye nyashi kubwaHatujamuona mpishi wetu Abou Shaymaa jini lisijekuwa limefanya yake sisi tupo tu, kuna majini yananyonya vyote, achilia mbali jini sen linalonyonya damu tu
sasa usipitilize, utaniumiza mwenyekiti wakoNdugu mwenyekiti nashukuru kwa kunipa fulsa hii hadhimu yakumpigia simu ndg yetu Abou Shaymaa wacha sasa nimlegezee sauti ili aseme shida ni nn
Sasa c wenyew umetoa ruhusa jmnsasa usipitilize, utaniumiza mwenyekiti wako
Kumbe una namba ya jini?Acha nimtwangie Simu Jini atujuze nin kimempata swahiba wake.
Muulize mwayaAcha nimtwangie Simu Jini atujuze nin kimempata swahiba wake.
Kheeeee🤣🤣🤣ndo ukomeGoj sasa nifuatilie nimkute mlipo chap, nishatoroka kuna kimtu kiliniteka kule facebook, narudi kwa miana
Ussi mhuniNi hadithi nzuri na yenye hamu ya kuifuatilia hata kama mwisho wake unajulikana ukiunganisha dots ambazo ni
Haya tuendelee na uhondo ndugu Abou Shaymaa
- Familia ya mzee Mohamed babaake Ussi na mjomba wa Seni kuwa na ukwasi lakini haujulikani chanzo chake
- Kufariki kwa wafanyabiashara vijana tukiacha wa miaka ya nyuma wale wanafunzi
- Kuacha kwa maabara kuifanyia vipimo miili ya watu wanaokaushwa damu kwa imani ya wanauliwa na jini na polisi kutojishugurisha na cases za aina hiyo
- Speed aliyokuwa nayo Ussi baada ya Vuai kupita na mwanamke mwenye niqab
- Mzigo waliomletea Ussi wale vijana wavuvi
- Ussi kuchelewa kuleta simu baada ya kuambiwa na babaake ili ampigie insp wa jeshi la polisi kuulizia CCTV Cam
- Kuparang'anyika kwa vitu nyumbani kwa Vuai ikitafutwa HD na mwisho maelezo ya
- Dogo aliyekuwa akicheza game nyumbani kwa Vuai na ile vesper iliyoondoka speed na alipoingia ndani akaikuta vesper ya Vuai ikiwa imepark.
Mwenyekiti Daudi1 Nimejarabu kumuita Abou Shaymaa tena kwa sauti ya mahaba lkn amegoma kujaUssi mhuni
achana naye hiyo sauti ya mahaba usirudie tena kumuitaMwenyekiti Daudi1 Nimejarabu kumuita Abou Shaymaa tena kwa sauti ya mahaba lkn amegoma kuja
Yeah na tena sio kidogo, anaishi kwa nguvu ya baba yake nae akijiongeza kukuza kipato kwa njia haramu kupitia Seni😀Ussi mhuni