mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,790
Sasa huyo anayenunua gunia kwa 70,000 na kuuza kwa 42,000 ANAPATA wapi faida yake?
Inawezekana zisiwe halali.
Lakini habari za kwamba kuna majoka yanatema hela, hizo ni fiksi.
Hayo majoka huwa yanazitengeneza hizo hela tumboni halafu ndo yanazitema?
![]()

ni dude juzi Kati alipata ajari ya boda boda unakuwaje tapeli unapata ajari soo cheap matapeli wa mbele wapo smart hao hata kutoka nje Wana check uwezekano wa mvua kunyesha kwenye utabiri wa Hali ya hewa

