Uislamu ulianza miaka 600 baada ya kuzaliwa Kristo . Uislamu ulizaliwa katika ardhi ilipo Saudi Arabia . Israel Ilianza miaka 4000 au zaidi iliyopita ukianzia Abrahamu alipofika kanaani , mjukuu wake aliyeitwa Yakobo aliitwaa Israel.Si kweli, kuna ujinga aidha umejijazá mwenyewe au ulisoma shule za kukufundisha ujinga.
Saudi Arabia ni nchi iliyoanzishwa 1932 kwa msaada wa Uingereza, miaka michache kabla ya kuanzishwa Israel.
Uislam upo toka mwanaadam wa kwanza na kabla yake. Kumbuka hilo.