Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
3,574
Points
2,000
Jurrasic Park

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
3,574 2,000
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851
screenshot_20190514-002138-jpeg.1096852
screenshot_20190514-002146-jpeg.1096853
screenshot_20190514-002153-jpeg.1096854
screenshot_20190514-002201-jpeg.1096855
 
S

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
1,208
Points
2,000
S

Somi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
1,208 2,000
Si kweli, kuna ujinga aidha umejijazá mwenyewe au ulisoma shule za kukufundisha ujinga.

Saudi Arabia ni nchi iliyoanzishwa 1932 kwa msaada wa Uingereza, miaka michache kabla ya kuanzishwa Israel.

Uislam upo toka mwanaadam wa kwanza na kabla yake. Kumbuka hilo.
Uislamu ulianza miaka 600 baada ya kuzaliwa Kristo . Uislamu ulizaliwa katika ardhi ilipo Saudi Arabia . Israel Ilianza miaka 4000 au zaidi iliyopita ukianzia Abrahamu alipofika kanaani , mjukuu wake aliyeitwa Yakobo aliitwaa Israel.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,554
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,554 2,000

Hapo ndipo uliposomea ujinga,Yesu hakuna mahala amefundisha "Ukristo" wala mtume yeyote wa kabla yake, wote walifundisha kujisalimisha kwa Muumba wao, kwa Kiarabu Islam, jisomee...

- 28 Na mmojawapo wa waandishi akafika,
akawasikia wakisemezana naye,
akatambua ya kuwa amewajibu vema,
akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo
ya kwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii,
Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni
Bwana mmoja;
30 nawe mpende Bwana Mungu wako kwa
moyo wako wote, na kwa roho yako yote,
na kwa akili zako zote, na kwa nguvu
zako zote.
(Marko 12 :28-30)
- Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
(Yohana 17

Source: https://www.jamiiforums.com/threads/nguzo-5-za-uislam-kwenye-biblia.1581761/
 
Mimi Nipo tayari kukufundisha Ukaamka kutoka huko kwenye udanganyifu uliopo sasa ukatambua Imani ya kweli. Yohana mtakatifu 3:16-21; kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ili kila mtu amwaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu Bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Amwaminiye yeye hahukumiwi asiyeamini amekwisha kuhukumiwa kwa sababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu.Na hii ndiyo hukumu ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni na watu wakapenda giza kuliko nuru kwa maana matendo yao yalikuwa maovu .maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru wala haji kwenye nuru ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa na Mungu
 
Comrade 01

Comrade 01

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
353
Points
500
Comrade 01

Comrade 01

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
353 500
Kwani wangapi siku hizi hawalali na wake zao chumba kimoja? Kwani huwezi kula mzigo na kwenda kulala mbali na mashuzi ya mwanamke. Hata huyu nani bwege aliye watibua wachaga mbona yuko hivyo
We jamaa umevuta cha wapi!!?Hii ndio sababu inanifanya nichelewe kuoa nikifikiria hayo mambo ya mashuzi,mi mwenyewe ushuzi wangu unanikera.Sembuse mmeoana mtakuwa mmezoeana daah!!!
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,345
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,345 2,000
Watu hawaangalii kiasi gani ulichorithi Bali wanaangalia ulichorithi ni haki yako
Tatizo hujui sheria za mirathi uwe unakaa kimya au unauliza.

FaizaFoxy angekuwa mke wa Mengi wala asingerithi mali nyingi angekuwa fukara tu angetegemea watoto wakiume wao ndio hupewa mafungu makubwa
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,554
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,554 2,000
Tatizo hujui sheria za mirathi uwe unakaa kimya au unauliza.

FaizaFoxy angekuwa mke wa Mengi wala asingerithi mali nyingi angekuwa fukara tu angetegemea watoto wakiume wao ndio hupewa mafungu makubwa
Tena hata wangu ningewapa wao.

Hapo kwa Mengi watu wataambulia kurithi madeni tu. Subiri mtanambia..
 
sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Messages
1,897
Points
2,000
sayoo

sayoo

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2014
1,897 2,000
Tatizo hujui sheria za mirathi uwe unakaa kimya au unauliza.

FaizaFoxy angekuwa mke wa Mengi wala asingerithi mali nyingi angekuwa fukara tu angetegemea watoto wakiume wao ndio hupewa mafungu makubwa
Me naelewa Sana kutokana na dini yangu, Kwan ww ulitaka amiliki IPP yote, hicho atakachokipata ndio itakua halal kwake
 
Bravo320

Bravo320

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Messages
379
Points
500
Bravo320

Bravo320

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2015
379 500
Swali la kujiuliza, ni kweli kabisa Jack alikubali kuolewa na mzee yule kwa kuwa anampenda ? Kama siyo, alifuata nini ?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,345
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,345 2,000
Me naelewa Sana kutokana na dini yangu, Kwan ww ulitaka amiliki IPP yote, hicho atakachokipata ndio itakua halal kwake
Kwa mujibu wa sheria za mirathi, ikitokea marehemu akafariki (akiwa mkristo) itatumika sheria ya kiserikali ambayo hamtupi sana mwanamke ila Sheria ya kiislamu itampatia Jaquelin mengi 1/4 tu ya mali zote za marehemu
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,345
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,345 2,000
Tena hata wangu ningewapa wao.
Hapo kwa Mengi watu wataambulia kurithi madeni tu. Subiri mtanambia..
Hayo yao wapambane nayo tu.
Unazungumziaje sheria ya mirathi ya kiislamu inayiwaminya haki zenu nyinyi wanawake ambao mna mchango mkubwa sana kwenye familia kurithishwa 1/4 tu ya mali za marehemu na kama mmeolewa wawili ama wanne mtagawana hiyohiyo unaizungumziaje?
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
551
Points
1,000
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
551 1,000
"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.

Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.
Katika upunguani wako...aah sory ..katika ubora wako FaizaFoxy
 
Comrade 01

Comrade 01

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
353
Points
500
Comrade 01

Comrade 01

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
353 500
Hayo yao wapambane nayo tu.
Unazungumziaje sheria ya mirathi ya kiislamu inayiwaminya haki zenu nyinyi wanawake ambao mna mchango mkubwa sana kwenye familia kurithishwa 1/4 tu ya mali za marehemu na kama mmeolewa wawili ama wanne mtagawana hiyohiyo unaizungumziaje?
Msichojua ni kwamba Uislamu unawapa haki hadi wazazi wako haki ya kurithi sehemu ya mali yako.Wazazi waliopata tabu ya kukulea.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,345
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,345 2,000
Msichojua ni kwamba Uislamu unawapa haki hadi wazazi wako haki ya kurithi sehemu ya mali yako.Wazazi waliopata tabu ya kukulea.
Tunajua mkuu, Wazazi wanarithi 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la mjane/wajane.

Ila sheria hii ni mbaya kuliko neno lenyewe "Mbaya" inawaminya sana wanawake
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,554
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,554 2,000
Hayo yao wapambane nayo tu.
Unazungumziaje sheria ya mirathi ya kiislamu inayiwaminya haki zenu nyinyi wanawake ambao mna mchango mkubwa sana kwenye familia kurithishwa 1/4 tu ya mali za marehemu na kama mmeolewa wawili ama wanne mtagawana hiyohiyo unaizungumziaje?
Huielewi mirathi ya Kiislam. Sepa.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,345
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,345 2,000
Huielewi mirathi ya Kiislam. Sepa.
Wewe ajuza dini yako imekufanya kuwa bonge la Fala, Kwa kukudhihirishia kuwa nazijua hizo sheria 👇
(1) Wajane/ Mjane hurithi ⅛ kama marehemu ameacha watoto.
(2) Wajane/ Mjane hurithi ¼ kama marehemu hakuacha watoto.
(3) Wazazi hupewa ¹/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la wajane/ Mjane
(4) Mali itakayosalia hugawanywa katika mafungu matatu, Watoto wakiume hupata mafungu mawili na watoto wakike hupata moja. Sheria hizi ni kandamizi kwa watoto wakike na hata mwanamke.
Sasa kakuwa wewe ajuza tayari ulishakeketwa akili na dini yako huna lolote unaona sawa tu. Ila mahakama yenyewe inatambua uminywaji haki za wanawake kwa kutumia hii sheria Tunajaribu kuwasaidia mtoke kwenye huo ukoloni hamtaki Pumbavu wewe.
 
Huelewi mirathi za Kiislam, sepa.
 
Forum statistics

Threads 1,294,039
Members 497,789
Posts 31,163,053
Top