Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Ulikuwaga na ndoto za kuwa doc ?

By the way IVF ni nini mkuu ?
Ndio mkuu ila ndoto haikutimia.

In vitro fertilization (IVF) is the joining of a woman's egg and a man's sperm in a laboratory dish.

Kitendo/mfumo wa kuchavusha yai la mwanamke kutumia mbegu ya mwanaume nje ya mwili wa mwanamke ambao hufanyika maabara kwa kutumia vifaa maalumu vya kitabibu.

Baada ya hapo yai lililorutubishwa/chavushwa hupandikizwa kwenye mji wa uzazi(kondo) wa mwanamke na hatua za ukuaji mimba huendelea kama kawaida.
 
Kama hausiki
mlioshiriki kumchafua mpo tayari kumuomba msamaha hadharani ?
 
Asante kwa majibu murua
 
Wanawake waislamu wasomi wengi hawataki kutumia dini wengi hutaka mirathi iende mahakamani

wanawake wa kiislamu wanaoenda mahakamani hao ni waislamu jina. kuna muislamu muumin na muislam jina. muislamu muumin huwezi kwenda mahakamani wala hawezi kunywa pombe wala kuzini. waislamu jina ni hao anaitwa abdallah au amina lakini mambo yake hayaendani na mafundisho: nakuomba usimchezee muislamu muumin hatari wako wazi hawaogopi ila wanamuogopa mungu tu mfano CAG HUYO NI muislam muumin wakina ramadhani dau na wengi
 
Hii kitu wakati nasoma miaka ile nilikua namuona kaka yangu wa kwanza kama mkoloni yaaan hatujali sie wadogo zake maana msemo wake ulikua ni "familia yangu ni mke wangu na watoto wangu basi hao wengine nawasaidia mbali lakini sio kuishi kwangu " nilikua simpendiiiii ila baada ya kukua na kujionea ya walimwengu nikasema kumbe bro ni kichwa sana maana husema "najua ndugu kibao wananichukia ila sijali hakuna anayenisomeshea wala kunitunzia familia" basi nimecopy maisha yake kwakweli kwangu ndugu njoo usalimie usepe siku hiyo hiyo hamna kulala... Maisha ya extended family ni kujitafutia kuvunja nyumba yako iliyokua na amani kisa hao ndugu
 
Mjane nasikia kapewa nyumba ya Kinondoni ambayo imetumika pia kama dhamana ya mkopo kwenye makampuni ya IPP... So hiyo nyumba haiwezi uzwa.
 
Ramadhani wanafunga mbona utawaitaje waislamu jina? Wewe mwenyezi Mungu?
 
ukristo ni dini nzuri tu ila wapoingia waafrica wakaichafua kama wanavyochafua mazingira
Ushoga na usagaji umehalalishwa na nchi za wakristo waafrica au wazungu ulikotoka ukristo? Waafrica wakristo hatutaki ushoga wazungu wanashogana Hadi wanna miaskofu mishoga na misagaji
 
Lisemwalo lipo....kama Jaq kafanya hayo madudu basi ni hatari....Ngoja Tusubiri Chahali wa Twitter atupe update na tukisubiri update ya Mange baada ya kufungulia.
 
Haki yake Ni kile walichochuma wote baada ya kuolewa Sio kabla .Kama Kuna chochote akipewa Cha kilichochumwa kabla hawajaoana ni huruma ya watoto wakubwa wa mengi na ndugu zake.Hizo mali alizozikuta zimechumwa na Mengi na Mike mkubwa na wanawe wakubwa Sio zake akipewa Ni huruma tu.Ila Kama kipindi kaolewa kuna kipya walichuma wote ruksa kuchukua chote
 
Uislamu sio
Ramadhani wanafunga mbona utawaitaje waislamu jina? Wewe mwenyezi Mungu?
Uislamu sio kufunga tu ni pamoja na kusoma na kuujua uislamu wako.Unaweza kuta mtu kafunga hasali,haachi uongo na mengineyo huyo atakuwa muislamu jina.
 
Ha ha ha ha bwege aliyewatibua WACHAGGA na wakamwonyesha kwamba yeye si lolote.
Huyo lazima alale tofauti kwa sababu hawezi lolote maana hana tofauti na huyo mwanamke anaelala nae
Naye aliwaonyesha wao si chocote. Ulishuhudia kuomba msamaha pale?
 
It
Ni ujinga mtupu, in Africa kila kifo lazima kizue maneno ya kijinga watu wajinga waliwahi kukosa adabu kwa mtu muhimu kama Nyerere na kusema ukimwi, itakuwa Mengi. Angekuwa mpiga debe usingesikia chochote
Its not about Africa. It is about circumstances. Hivi wewe na akili zako tinamu. Ulishuhudia kabisa dk. Mengi afya yako ilivyokuwa je wewe binafsi ungeweza kumzurulisha mpaka Zanzibar?! Kama hiyo haitoshi unaburura mpaka Dubai. TYatizo ni nini kupendwa kupita kiasi. It was not fair at all!!!! Hilo tu linaweza kuku-lable kama muuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…