Kifo cha CCM kimetimia

Kutafuta mazuri ya ccm ni sawa nakutafuta makalio ya nyoka ila kutafuta mabaya na ugaidi wake nisawa na kumpapa maji mwene kiu anavyo furahi
 
Umesema kweli kabisa. Lakini nina shaka kwamba watakusikia, badala yake wataanza kukuporomoshea matusi. Viongozi wa nchi wamo katika usingizi wa pono unaosababishwa na kulewa madaraka. Wengine wengi, ambao mojawao wamo humu ndani, wanauona uozo huo, ila kutokana na njaa kubwa waliyo nayo, wameziba macho na masikio na wako tayari kukipigia debe ccm ili mradi wapate shibe, siku ipite!
 
Huwezi kuweka kiraka kipya kwenye vazi kuukuu,ccm kwa sasa imechoka,haitaweza kutuvusha 2015,ipumzike wengine wachukue hatamu.hata haiwezi kukusanya kodi.chini ya ccm wazungu hata kama hawana mitaji hupewa nafasi ya kufyonza uchumi wetu,tazama wasivyoweza kukusanya kodi migodini.nchi tayari imeshakuwa na rasilimali watu na rasilimali mali kama madini gesi,urani nk.lakini selikali ya ccm inategemea pombe kuendesha taifa .kwa nini isichukue madini na kuwapunguzia watanzania mzigo wa umasikini/.HATA inaona wivu wa jinsi mikutano ya vyama shindani inavyo jaa wananchi huku wao wakitumia magari kuwaleta watu hasa wazee kuwasikiliza.ni muda sasa wenzetu kuwapa wengine
dola.:llama:
 
Wanategemea pilau na pombe za kienyeji zitaendelea kuwasaidia kununua watz,
 
Wanabodi,

Mwananchi anaweza siwe mzalendo ila asiwe adui wa taifa..yaani kwa kuacha tuu kufanya mambo ya kizalendo.Mfano kutoongea kitu mtu akiwadhuru watanzania, kutoumia roho mchi inapoporwa, kutokufanya extra mile kwa ajili ya nchi, kwa ujuml akutoilinda Nchi na Tamaduni zake au hata kusupport mambo ya nchi. ILa raia anaweza kwenda mbali na kuwa adui wa nchi kwa kushiriki kuua uchumi, kuua raia, kutolinda nchi, kushmabulia nchi n ahat kushirikiana na wasio wa nchi kumaliza nchi..Yaani kuisaliti au kuwa ktk jeshi adui.

CCM sasa hivi ni zaidi ya waliokosa uzalendo..ni maadui wa nchi.matendo ya CCM kwa nchi, wananchi, kwa tunu za nchi hii sawa kabisa na mashambulizi ..ni uadui mkubwa kwa nchi yetu.

Bila kuhesabu kila kimoja, kwa kifupi nawakilisha.
 
siyo tu wamekosa uzalendo bali wamegeuka kuwa magaidi kwa kupiga watu mabomu na pia kujaribu kutumia mabavu kutawala nchi baada ya wananchi kuwashinda kwa nguvu za hoja sasa wameamua kutumia majeshi na polisi kupambana nao wakitimiza historia ya vyama vyote vinavyoanza kuanguka matumizi ya nguvu kwa sana baada ya kushindwa hoja.
 
NI maadui wakubwa wa taifa..hawalilindi, wanabomoa wanaiba, wanaua wazalendo, wana gaidi raia...wanadanganya taifa....ni wasaliti kwa kushirikiana na watu wa nje kuliibia Taifa, wanshirikiana na mataifa mengine kuliuzia jeshi silaha na ndege zilizopitwa na wakati ili taifa liwe dhaifu.
 
siyo tu wamekosa uzalendo bali wamegeuka kuwa magaidi kwa kupiga watu mabomu na pia kujaribu kutumia mabavu kutawala nchi baada ya wananchi kuwashinda kwa nguvu za hoja sasa wameamua kutumia majeshi na polisi kupambana nao wakitimiza historia ya vyama vyote vinavyoanza kuanguka matumizi ya nguvu kwa sana baada ya kushindwa hoja.
namkumbuka Gadafi aliwafanyia mambo mengi mazuri watu wa libya lakini alipoamua kupambana na wanachi wake kwa kuwa walikuwa wanataka mabadiliko sasa hivi sijui kama kuna ukoo tena wa Gadifi Libya
 
Umedata wewe, huwezi ota ndoto Kama hizi mchana kutwa. Unajidanganya sana CCM haing'oki kamwe kwa mtutu wala kwa maandamano. CCM itaendelea kuongoza kwa miaka 100 ijayo!!!!!! Tafakari chukia CDM

Pole mkuu nakuomba umeze zile dawa zako za presha mkuu manake naona presha yako iko juu sana na kisukari pia kimeanza kupanda, hata jasho limeanza kutoka naliona pamoja na WEWE kuwa kwenye kiyoyozi. Angalia sana mkuu usije kufa wewe kabla ya CCM. Usipozingatia kuziba masikio na kuacha kuingia kwenye mitandao kifo chako kwa presha ni dhahiri mkuu.SALAMA YAKO NI KUJIUNGA CHADEMA MKUU ndiyo dawa pekee.
 
Umedata wewe, huwezi ota ndoto Kama hizi mchana kutwa. Unajidanganya sana CCM haing'oki kamwe kwa mtutu wala kwa maandamano. CCM itaendelea kuongoza kwa miaka 100 ijayo!!!!!! Tafakari chukia CDM
duh ndio maana umekuwa master minder wa mauaji kwa ndoto ya CCM itatawala miaka 100 mpaka sasa mumeanza kutawala kwa mtutu CCM haina legitimacy kambi ya Naliendele MTwara ya jeshi ni ya kutesa wananchi halafu unsema CCM inauhalali wa kutawala,nyamongo huko mumebaki na mabepari kwa mtutu wa bunduki hamna uwezo wa kutawala miaka 100 nyie nje ya kusaidiwa na jeshi na jeshi litashindwa karibuni kama polisi walivyoshindwa na hicho kitakuwa kiama chenu
 
Yaani wewe siji umetokea wapi.yaani kifo cha ccm kitokee kwa sababu ya mgogoro wa madaktari?muungano?umaskini uliokithiri wapi?
 
Juzi usiku nilibahatika kutembelea viwanja vya Carnival jijini Mbeya, wakati tunaendelea kupata moja mbili na maongezi ya hapa na pale, mara tukasikia jamaa akipaza sauti kwa nguvu akimwambia demu aliekuwa nae "Kama wewe ni CCM...Ondoka, mimi sijazoea maliberali! Mara ukumbi mzima ukalipuka "Katoe Nje hako"!

Ukweli ni kuwa kabla ya hapo wadau walikuwa wanaongelea Gesi inayovunwa Mbeya kwa miaka mingi sana na bado haiwanufaishi wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wadau walinihabarisha kuwa Kyela imegundulika na hazina kubwa sana ya Gesi na Mafuta...waliendelea kunijulisha kuwa kijiografia hazina kubwa iko upande wa Tanzania ndiyo maana Mama Banda alikuwa anatokwa povu kiasi kile... Kwa ujumla tulikuwa tunazungumzia mambo ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu mpaka pale siasa za kiliberali zilipoanza kuibuliwa na jamaa kuamua kutema mzigo ndani ya baridi kali la Mbeya...

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu naamini kuwa CCM imefikia mwisho wake, sina shaka hili wanalijua fika ndiyo maana hawawezi kuboresha daftari la wapiga kura, ama kuruhusu uchaguzi huru na wahaki. Nchi za kibeberu zenye kututangazia siasa za kiliberali zimekuwa zikiipatia CCM mamilioni ya dolla ili iendelee kutawala, this time naambiwa wanajiandaa kutoa kiasi kikubwa zaidi kwaajili ya kuwaweka sawa viongozi wa vyombo vya dola, tusishangae akina Chagonja wakiwakimbiza wananchi badala ya mrusha bomu, tusishangae kamuhanda akipanda vyeo na kuwa IGP... Hii ni CCM ya Wawekezaji siyo CCM ile iliyokuwa mtetezi namba moja wa Wakulima na Wafanyakazi. CCM ya leo FITNA si mwiko tena, Ukiwajibika utakumbwa na fagio la Mwabepande, Wazalendo wa nchi wanawakanyaga na kuwatupa chini ....
Bila ya aibu Wanashangilia Wamarekani kuja kuchukua ardhi yetu baada ya kufanikiwa kumiliki Almasi, Dhahabu, Gesi, Power Plants ... Wanapokea vipande vya chupa na kutoa Almasi! Bora ya chifu Mangungo mara milioni sabini kuliko akili hizi za akina Nape, Mwigulu et al...IPO SIKU TUTAFUNGA MINYORORO MAKABURI YENU...
 
Zaidi ya kujisifu wawekezaji wawekezaji hawana lolote hakuna cha Big result now,wala,kilimo kwanza,wala elimu nambari moja, maneno maneno maneno tu mpaka lini maendeleo kwa CCM ni sawa na mbingu na ardhi hata kuweka miji safi tu kutengeneza mfumo wa maji taka mijini ni ndoto za abunuasi
 
Kweli kabisa mkuu nipo hapa Mbeya kwenye mkutano mkuu wa ofisi za mabonde nchini, ambazo ofisi hizi za mabonde ndio zinaratibu uendelezaji na usimamizi wa rasilimali za MAJI. Namsikiliza Waziri Prof. Maghembe anapigia chapuo mpango mpya wa Serikali uitwao ' big results now' mtokeo ya haraka sasa! Inaelekea kilimo kwanza kimesaahulika, mpango wa maendeleo wa miaka mitano imesaahulika na Mipango kabambe mingine mingi tu AMBAYO ishawahi kuzinduliwa kwa mbwembwe nyingi sana! Yaelekea Serikali yetu Sikivu ya CHAMA cha mapinduzi haijui kwanini sisi ni maskini.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Zaidi ya kujisifu wawekezaji wawekezaji hawana lolote hakuna cha Big result now,wala,kilimo kwanza,wala elimu nambari moja, maneno maneno maneno tu mpaka lini maendeleo kwa CCM ni sawa na mbingu na ardhi hata kuweka miji safi tu kutengeneza mfumo wa maji taka mijini ni ndoto za abunuasi

BIG RESULTS???? Hawa jamaa ni wazuri sana wakuja ni vi misemo lakini utekelezaji wa misemo vyao ni sifuri. Hizo big results zilikuwa wapi kwa kipindi cha miaka hamsini. au ndo BIG RESULTS ZA KUTUFILISI NA KUTUIBIA ZAIDI?
 
Zaidi ya kujisifu wawekezaji wawekezaji hawana lolote hakuna cha Big result now,wala,kilimo kwanza,wala elimu nambari moja, maneno maneno maneno tu mpaka lini maendeleo kwa CCM ni sawa na mbingu na ardhi hata kuweka miji safi tu kutengeneza mfumo wa maji taka mijini ni ndoto za abunuasi

ndo imedhirika nini sasa, mbona hueleweki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom