rangau
Member
- May 12, 2013
- 71
- 14
WanaCCM Kaaeni mkijua kwamba wananchi wa Tz si Vilaza wenu!
Mmeuza Nchi na kukumbatia rasilimali zote kwa manufaa yenu mkijua hatuoni! Ardhi mmetapanya hadi mali iliyopo! Serikali yenu kuu imeagiza mkong'oto kwa Raia na mali zao. Nendeni kwanza mjisafishe kwa hzo dhambi za Ng'ombe hamsini mlioua kumaskinisha mwenye ng'ombe! Ila kwa MUNGU ALIYE HAI HUYO MWENYE NG'OMBE HATAKUA MASKINI. Bali nyie ndo mtakua maskini wa Milele! Aliyeagiza ifanywe na aliyefanya Laana i juu yenu!
Ccm imekusudia kununua bunduki kwa ajili ya kuua raia wasio na hatia pamoja na Ng'ombe! WANANCHI WENZANGU TUUNGANE TUONDOE HUYU NDULI KATIKA MAMLAKA YOTE YA NCHI YETU!
SHINDWA CCM SHINDWA PEPO!