Kifo cha CCM kimetimia

Kama unatamani fedha zi urudi tu bungeni?

Tatizo lenu CHADEMA mnafikiri mngekuwemo bungeni pesa zisingepotea

Chadema wanaota ndoto ya mchana kaka

Pesa wanazitaka halafu wanawaita akina SHIBUDA wasaliti

Anayezungumza hapo siyo chadema nyinyi misukule,mnadhani kila aliyetofauti na serikali ni chadema,kweli chadema inawatesa hadi mnaiota mkiwa macho!huyo ni mwananchi Wa kawaida asiyekuwa na chama kama Mimi na anawakilisha watanzania wote wenye akili,siyo misukule kama nyinyi.
 
Muombe mungu usife haraka ili mwisho wa siku uone maajabu ya ccm utalia kwa fulani japo kimoyomoyo kwa ushindi mkubwa itakaopata tena.
 
Ukawa mnakazi kweli mtaongea umbea huu mtagota wenzenu wanajenga chama wamethutu,wakaweza sasa wanasonga mbele kuwatumikia watanzania.
 
Sababu Za CCM Kufa na wananchi kuanza kuikacha kwa nguvu zao zote ikiwamo kuwashawishi wenine waachane nayo!

1) Kutumia mabavu katika kuiongoza nchi.
2) Mnyama ni bora kuliko binadamu
3) Ahadi zisizotekelezwa wala kutekelezeka.
4) Waongo
5)
 
Ccm haiwezi kufa hata siku moja chadema wauaji na imekufa
 
Kupindisha sheria za nchi na kuwaacha mafisadi mbali mbali wakiendelea kupeta bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.

1. Rada $42 million
2. Ukwapuaji wa nyumba za Serikali zenye thamani ya zaidi ya shilingi Trillioin 1
3. Meremeta $155 million
6. Kagoda
7. Richmond/Dowans $100 million
8. Escrow $112 million
9. Vitambulisho vya Taifa shilingi 300 billion
10. Mabilioni ya Uswiss $329 million
11. Mikataba ya uchimbaji gas/madini isiyo na maslahi
12. Misamaha ya kodi, kwa mwaka shilingi 1.5 Trillioni n.k.

Sababu Za CCM Kufa na wananchi kuanza kuikacha kwa nguvu zao zote ikiwamo kuwashawishi wenine waachane nayo!

1) Kutumia mabavu katika kuiongoza nchi.
2) Mnyama ni bora kuliko binadamu
3) Ahadi zisizotekelezwa wala kutekelezeka.
4) Waongo
5)
 


KEEP DREAMING! It's GOOD FOR YOUR HEALTH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…