Kifo cha CCM kimetimia

Kifo cha CCM kimetimia

Simple
Nonperformance in all areas, to mention a few (good governance, economy, socio services, transparency,......._)
Now don't know if you have ever asked yourselves;
-Is it possible to think a little bit how, when and where to improve?
-For how long you gonna use force for people who even do not get 3 meals per day?
-For how long you gonna use force for people who don't know how will the day look like tomorrow?
-For how long you gonna use force for the people who now knows your true colour?
-For how long you gonna control your members who have expressed their great dissatisfaction on how the country is run?
 
Yaani haya maagari ya majiwasha ni mengi! Kwa ajili ya kumkomoli mtanzania maskini. Mungu tusaidie.
 
Wadau

1. Kusafirisha meno ya tembo kinyemela--abdulaman kinana (CCM)
2. Maghorofa kuanguka, kampuni ya diwani wa CCM ndio mmiliki
3. Mv. Spice Islander, mmiliki mbunge wa CCM (haina viwango)
4. Kuua watu na kuwakata viungo, muhusika diwani wa CCM (wandwi maguru)
5. Huuzwaji wa dawa za ukimwi bandia, kampuni ya M/kiti wa CCM-dsm
6. Kuua mashirika ya serikali kama uda--muhusika iddi simba (CCM)
7. Ufisadi BoT--muhusika ni basil mramba (CCM)
8. Kuiba wake za watu--mwigulu na diwani wa CCM-iringa bw. elia mgwila
9. Udhaifu wa serikali-JK (CCM)
10.Chanzo cha kuleta tofauti za kidini nchini--steven wassira (CCM)

Je ?? hii serikali inatakiwa vipi kuendelea kuwepo madarakani ?
 
EPA wahusika wakuu wote ni kutoka CCM
Ufisadi wa ununuzi wa rada wahusika wote ni CCM
Mabilioni ya Uswiss wahusika wote ni CCM
Ukwapuaji wa nyumba za Serikali wahusika wote ni CCM
Ufisadi wa Richmond/Dowans wahusika wote ni CCM
Ukwapuaji wa Kiwira Coal Mining wahusika wote ni CCM
Kuingia mikataba ya kifisadi ikiwemo ya uchimbaji wa rasilimali za Tanzania wahusika wote ni CCM
Meremeta, Kagoda uuzwaji wa NBC wahusika wote ni CCM
Wanaongeza deni la Taifa katika kasi ya kutisha wahusika wote ni CCM

CCM ni janga la Taifa letu. Hawastahili kuwepo madarakani hata kwa saa 24 hawana manufaa yoyote kwa Watanzania zaidi ya kuendelea kuiangamiza nchi.
 
485906_496162173781115_1677093900_n.jpg

Tulieni mliwe vizuri! Mliyataka wenyewe! Hiyo ndiyo kasi mpya na maisha bora kwa kila mtanzania!!
 
485906_496162173781115_1677093900_n.jpg

tulieni mliwe vizuri! Mliyataka wenyewe! Hiyo ndiyo kasi mpya na maisha bora kwa kila mtanzania!!

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,,,,,ndugu,,,,,,,,,kazi,,,,,,,nzuri,,,,,,,sana,,,,,,,,,,bila,,,,,,,shaka,,,,,,,ni,,,,,,bagamoyo,,,,,,,,,,,,,,,,kwa,,,,,,,,bw,,,,,,,,mkubwa,,,,,,,,haaaaaaaaaaaaa
 
Mie ya magorofa kuporomoka ndiyo siwaelewi kabisa -- halafu eti wanajipeleka eneo la tukio kuonyesha sura ili watu wawapende! Kazi yao kuu ni ku-fight manifestations (matokeo) ya ufisadi wao na siyo kiini (root cause).

Kila siku wanalazimika kulamba matapishi yao. Ngoja goroga jingine liporomoke -- yatajirudia yote haya ya viongozi wakuu kutoa rambirambi.

Na Watz sikui wakoje nao! Lakini wengi wanaanza kuona ufisadiu na usanii wa magamba unatufikisha pabaya sana. Heri yao kubwa ni mbeleko ya polisi.
 
Kinachouma zaidi kujiona wao ndio wanauwezo wakuongozi nchi hii kuliko mtu mwingine yoyote.
 
Wadau

1. Kusafirisha meno ya tembo kinyemela--abdulaman kinana (CCM)
2. Maghorofa kuanguka, kampuni ya diwani wa CCM ndio mmiliki
3. Mv. Spice Islander, mmiliki mbunge wa CCM (haina viwango)
4. Kuua watu na kuwakata viungo, muhusika diwani wa CCM (wandwi maguru)
5. Huuzwaji wa dawa za ukimwi bandia, kampuni ya M/kiti wa CCM-dsm
6. Kuua mashirika ya serikali kama uda--muhusika iddi simba (CCM)
7. Ufisadi BoT--muhusika ni basil mramba (CCM)
8. Kuiba wake za watu--mwigulu na diwani wa CCM-iringa bw. elia mgwila
9. Udhaifu wa serikali-JK (CCM)
10.Chanzo cha kuleta tofauti za kidini nchini--steven wassira (CCM)

Je ?? hii serikali inatakiwa vipi kuendelea kuwepo madarakani ?
Kusafirishwa nguzo za umeme mpaka mombasa halafu kurudisha nchini mwenyekiti wa CCM -Mbeya
Wizi wa viwanja vya mipira-CCM
Meremeta -Warioba CCM
Sukari Mbovu kwa walaji mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam
KUpigwa risasi dereva wa daladala naibu katibu mkuu-CCM ditopile
Uporaji wa ardhi ngorongoro CCM
 
utabaki wewe pamoja na jk but the rest wanataka mabadiliko ya ukweli. I hope 2015 its the End of MAFISADI Tanzania.
 
Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
 
ndo mwisho wa ccm haswaaa..TANURU LIMEJIPAMBANUA KUWA NI GAMBAZ BRANCH

Isingeandikwa tetesi bali Ukweli;MWISHO WA CCM.Halafu content ingeongezwa na maneno kwamba viongozi wengi wa ccm katika mashina na matawi ya vijini hawana ubunifu kama wale wa CDM.
 
Mkuu, hebu kula tano zako hapo chapchap kwa kuweza walau kuyaona na kuweza kuyatafakari machache haya ili kuweza kuleta hoja yenye nia ya kumulika barabara CCM inamopita hivi sasa katika uhai wa taifa letu; mauaji ya raia kila kukicha, kesi za kuchonga za ki-toto lukuki na pia kuhodhi dola kujilinda kwa hawa viongozi wetu ambao wengi wao ni MAFISADI kufuru wasiopenda kutenganga na madaraka hata dakika moja.

Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
 
Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu.
Kama hizi ndiyo dalili basi baada ya Azimio la Arusha kuanza kutekelezwa, huo ndiyo ulikuwa mwisho wa chama kuwepo kwa sababu kitendo hicho kilikuwa ni ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu ambacho kwako huo ni mwanzo wa anguko la chama kama Article 9 and Article 17 linavyoanisha,

No one shall be subjected to arbitrary arrest, detention or exile.

(1) Everyone has the right to own property alone as well as in association with others.

(2) No one shall be arbitrarily deprived of his property.
matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
Mwl. Nyerere alifanya maamuzi ya kibabe kwa kutuhamisha kwa nguvu kutoka katika vijiji vyetu na kutupeleka ambako hatukutaka na kwa kufanya hivyo alikiuka misingi ya haki za binadamu Article 13 pale inaposema,
(1) Everyone has the right to freedom of movement and residence within the borders of each state.

(2) Everyone has the right to leave any country, including his own, and to return to his country.

Kwa kuanisha hayo, nafikiri angalizo lako linakuwa kama ni ndoto za alinacha kwa sababu toka mambo hayo yatokee kwa sasa ni zaidi ya miaka 46. Labda useme angalizo lako halina time frame.
 
Ukitaka kupima mwisho wa chama chochote cha siasa/ serikali yake ni pale kinapoanza kukiuka misingi muhimu ya haki za binadamu ,matumizi ya nguvu kupita kiasi kutumia ubabe / vitisho ktk maamuzi yake ,unapoona vyombo vya dola vinaacha kuwatumikia wananchi na kuanza kuwatumikia watawala na chama tawala ufahamu kuwa utawala huo unakaribia mwisho wake
sijakuelewa kabisa yaani. sidhani kama kuna serikali iliyokuwa kimya kama hii, nashangaa hata haya maguvu unayosema unamaanisha nini. au unaota?
 
Back
Top Bottom