WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 932
toeni ujinga huu,mmefanya research gani mpaka mseme ccm itaanguka,ccm wamepata kata 23 kati ya 27 mwezi uliopita,ccm inakubarika visiwan kwa aslimia 90 cuf asilimia 8 na cdm 0.6% lindi ,mtwara ccm inaongoza kwa asilimia 80 sasa ccm itaanguka kivip,na chama gan kitaishinda ccm sio mnaropoka tu bila kufanya extensive research.
sema unapatwa na kiwewe maana unapatia kitumbua chako ccm.lakini sasa utafanyaje kupingana na upepo?Yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. CDm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata Leo najua we ni mshika pembe tu
bado hakuna chama chenye ubavu wa kuiondoa ccm;
.............kama haukubali kitaje.
Soma signature yangu nadhani ni jibu tosha kwakoMabadliko yapo ndani ya ccm yaani utawala huu ukimaliza unakuja mwingine unaotokana na chama kubwa ccm
unaongozwa na ukereketwa na siyo uhalisia wa mambo kuwa c.c.yem imechokwa na kila mtanzania mwenye akili timamu!
Wakati tunajiandaa kufanya mabadiliko tukumbuke ccm ni chama chenye nguvu kubwa sana kiuchumi na ndio kimeshika dola kiongozi mjinga mmoja naweza kitumia cheo chake kuharibu democrasia pamoja na ukweli kwamba wananchi hawana imani tena na ccm kazi iliyo baki nikuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftali la mpiga kura pamoja na kutumia nguvu pale palipo na udhalimu maana baadhi ya vingozi watumia vibaya madarakama CDM ni saccos mbona mnahangaika usiku na mchani kuizulia mambo ya kipuuzi? Wapuuzi kweli nyie!
jamani mabadiliko siyo lazima yatoke nje ya ccm, kuna viongozi ndani ya ccm ambao wanauwezo wa kufanya kazi vizuri kwa maslahi ya taifa....ni wazoefu na waadilifu....tatizo lenu mnafikiri kuwa mabadiliko lazima yaje na vyama vya kitapeli na kidikteta......ndani ya ccm kuna majembe hata wewe willyafrika unajua na hapa unazuga tu......
ndani ya c.c.yem mtu analazimishwa na mfumo hivyo akijifanya anataka kwenda kinyume wakotayari kummaliza kwa njia yoyote ile ili malengo yao yaendelee kutimia hatakama ni ya kidhalimu.
Wakati ndani ya chama chenye mpango wa mungu chadema ni mfumo wa nguvu ya umma.
Yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. CDm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata Leo najua we ni mshika pembe tu
jamani mabadiliko siyo lazima yatoke nje ya CCM, kuna viongozi ndani ya CCM ambao wanauwezo wa kufanya kazi vizuri kwa maslahi ya taifa....ni wazoefu na waadilifu....Tatizo lenu mnafikiri kuwa mabadiliko lazima yaje na vyama vya kitapeli na kidikteta......ndani ya CCM kuna majembe hata wewe WILLYAFRIKA unajua na hapa unazuga tu......
Wewe ni kubwa jinga,unamsubilia mshua afe wakupe udiwani auKwaiyo wewe UCHAGA,UDINI NA UKABILA huoni kabisa kama ni ANGUKO LA CHADEMA??
Yote ni mawazo feki kama ccm ikianguka unafikiri nani aliyekamili ataongoza taifa hili. CDm ni saccos hujui? Mbulula we yaani hata Leo najua we ni mshika pembe tu
Ccm idumu milele na milele, hatutaki haya makundi ya kihuni huni, ya magaidi, ya wanywa gongo, ya wazinzi na wapora wake za watu