Kwanza salam
nasema ccm si chama cha siasa tena kwa sababu kimeacha misingi yake na kuanza kufenya kazi kwa kutumia ile misingi aliyoikataa mwasisi wake baba wa taifa nikiangalia njia wanazotumia ccm kupata viongozi wake nakumbuka usemi aliowahi kuniambia mwalimu wangu kuwa kila mzazi anamwandaa mtoto wake ili aje awe mrithi wake kwa maana nyingine mkulima anamwandaa mtoto wake ili aje kuwa mkulima na kiongozi anamwandaa mtoto wake ili aje kuwa kiongozi nasema hivyo kwa sababu ya mfumo huu walioanza kuutumia ccm kuwa kila nafasi ya kiongozi itakayotokea itajazwa na mtoto wa kiongozi huu ni mfumo wa hatari sana na utakuja kuirudisha nchi hii kwenye mfumo wa kifalme na ninawaomba wananchi msikubali kushabikia mfumo huu ukizoeleka tutakuja kujutia hebu angalia viongozi wa ccm ulinganishe na viongozi wa vyaama vingine mfano Nape baba yake alikuwa Moses mnawie kiongozi wa ccm, Ali Kigoma baba yake alikuwa Kigoma Malima kiongizi wa , makongro Nyerere , vita Kawawa, Zainabu Kawawa, Zainabu Gama ,watoto wa sokoine,arusha tuliona alipofariki mbunge Sumari aliteuliwa mtoto wake Sioi sumari na kana sio wananchi wa arusha kukataa utawala wa kifalme leo angekuwa mbunge . Angalia kalenga amefariki mginwa ameteuliwa mtoto wake ANGALIA CHALINZE Ridhiwani kikwete ndie mgombea mfumo huu na wanaccm wanaushabikia hivi hakuna mwana ccm asie kiongozi mwenye mtoto anaeweza kuwa kiongozi?? mimi sijui lakini kwa maoni yangu huu ni mfumo mbaya usiotakiwa kushabikiwa na mtu eyyote na niwakupigwa vita kwa nguvu zote