Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
bado hujaeleweka. Ni juzi tu mlisema kuwa ccm haichukui maamuzi magumu. Leo mnakuja na story ya kuwazuia baadhi ya watu wao kugombea uongozi
Bado nyinyi amjadai ongezeko la posho pale Lumumba kijana b7 km imepitwa nawakatituzuri !!!
Kutokana na yanayo endelea kutokea ndani ya chama cha mapinduzi yanaonyesha chama kinapumulia mashine chukulia ya fuatayo kuzuiwa kugombea uongozi kwa baadhi ya makata wake kwa kipindi cha mwaka mmoja na hii hoja ya kutaka kumpata mgombea mapema bila kufuata katiba ya chama sio dalili ya kukizika chama?
Dada yangu ni yepi yanayo endelea ndani ya CCM?
Kikwete kasema wanaCCM wasiwe wanyonge!
CCM ishakufa siku nyingi - tunachokisuburi watanzania ni kifo rasmi pale Dodoma wakati wa nominations za candidates wa URAIS kupitia CCM.
So far mtifuano huu wote mnaushuhudiia, watu tayari wameshalimwa kadi za njano wasijihusishe na mambo yoyote ya kimtandano, kitu ambacho kimetabiriwa na wachambuzi wa mambo ya kisaisa kwamba ni kujichimbia kaburi kwa chama hiki kikonge kilichotawala nchi hii miaka nenda rudi.
Tatazo lililopo ndani ya chama ni ile nidhamu ya woga iliyojengeka ndani ya chama hiki tangu enzi za mwalimu sasa imekwisha - tunausuburi mtifuano huu kwa hamu kuu.
CCM haiwezi kusimama tena. Hata kuwawajibisha hawa akina Lowassa ni kuiga toka CDM japo bado hawajafikia viwango vya CDM hata robo tu.
Bwana Songoro wewe jaribu kujirithisha mashamba ya baba yako mzazi akiwa hai na tena bila kufuata taratibu za kifamilia - kitakachokupata njoo hapa utoe ushuhuda.chadema bana! Huku wakifanya jitihada kumfukuza Zitto kwa kuonesha nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama, wanailaumu ccm kwa kuwachukulia hatua baadhi ya makada wao wanaokiuka kanuni za chama
mkuu, kwako yale matokeo ya chopa tatu kata tatu unayachukuliaje? Pia kumbuka maneno ya kitila kuwa ccm inaimarika, chadema inasinyaa. Nini tafsiri yake?