Inafahamika mkuu, sasa cha kufanya ni nini?
Fanya kazi kwa bidii ujenge maisha yako. Acha porojo...
Kiongozi!
T 2015 CDM ndio suluhisho.
Cc: Nape Nnauye , KINAna jangili , Ritz Simiyu Yetu and all LB7 projectFanya kazi kwa bidii ujenge maisha yako. Acha porojo...
wadau
nimetafakari kwa makini sana,kuna kila dalili kwamba ccm wanatengeneza migogoro ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini tanzania,chama hicho ni chadema ambacho kinatakiwa kife kabla ya 2014/2015,hiyo ni kwa mujibu wa wanaccm kama wassira,
kwa mtazamo wangu,hata kama chadema kitakufa, wananchi watakiondoa ccm madarakani kwa namna yoyote kwa kuwa chama hiki kimeshindwa kabisa kulisaidia taifa hili,kwa mfano mdogo tu,ccm imeamua kwa makusudi kuua elimu yetu kwa kuanzisha division five;
ccm inaondoka.
Wadau
Nimetafakari kwa makini sana,Kuna kila dalili kwamba CCM wanatengeneza migogoro ndani ya Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania,Chama hicho ni CHADEMA ambacho kinatakiwa kife kabla ya 2014/2015,Hiyo ni kwa mujibu wa WanaCCM Kama Wassira,
Kwa mtazamo wangu,Hata kama Chadema kitakufa, Wananchi watakiondoa CCM madarakani kwa namna yoyote kwa kuwa Chama hiki kimeshindwa kabisa kulisaidia Taifa hili,Kwa mfano mdogo tu,CCM imeamua kwa makusudi kuua elimu yetu kwa kuanzisha division five;
CCM inaondoka.
Mkuu Frank, kama Chadema itakufa, na 2015 CCM itaondoka au itaondoshwa, then Tanzania itatawaliwa na nani?.Wadau
Nimetafakari kwa makini sana, CHADEMA kinatakiwa kife kabla ya 2014/2015, Hiyo Kwa mtazamo wangu,Hata kama Chadema kitakufa, Wananchi watakiondoa CCM madarakani kwa namna yoyote CCM inaondoka.
Mkuu Frank, kama Chadema itakufa, na 2015 CCM itaondoka au itaondoshwa, then Tanzania itatawaliwa na nani?.
Naomba nichukue fursa hii kukuandaa kisaikolojia ili usije kuishiwa kuwa frustrated ile 2015!.
Kwanza ondoa wasiwasi, Chadema haifi!, ila kwa 2015, Chadema itakuwa bado!, hivyo ni CCM tena!. Si unaona uchaguzi wa serikali za mitaa ni kesho tuu!, angalia leo Chadema wako busy na nini!, ingekuwa ni CCM ndio wanaowakeep busy, ungesema ni mbinu za kuwadhoofisha, lakini wako busy wenyewe tuu, maandalizi ya 2015 watafanya saa ngapi?, wakati determinant ya ushindi wa 2015, ni ushindi wa 2014!.
CCM ni chama cha mafisadi, CCM imekubuhu kwa rushwa, yaani imeoza, inanuka!, kwa kifupi, CCM ni li zimwi!. Kama mpaka 2015, Tanzania bado tutakuwa hatuna mbadala wa CCM, then nakuhakikishia kuwa kuliko kuchagua upepo kutuendeshea nchi, Watanzania, wataamua bora wairudishe hiyo hiyo CCM!, japo ni li zimwi!, lakini ndilo zimwi pekee likujualo!, halikuli likakwisha!, litakubakisha japo mifupa!.
Hata hivyo, kwa vile Mungu yupo, na miujiza pia ipo, au tusubirie miujiza, au jiandae kwa CCM tena, ile 2015!.
Pasco.
Wadau
Nimetafakari kwa makini sana,Kuna kila dalili kwamba CCM wanatengeneza migogoro ndani ya Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania,Chama hicho ni CHADEMA ambacho kinatakiwa kife kabla ya 2014/2015,Hiyo ni kwa mujibu wa WanaCCM Kama Wassira,
Kwa mtazamo wangu,Hata kama Chadema kitakufa, Wananchi watakiondoa CCM madarakani kwa namna yoyote kwa kuwa Chama hiki kimeshindwa kabisa kulisaidia Taifa hili,Kwa mfano mdogo tu,CCM imeamua kwa makusudi kuua elimu yetu kwa kuanzisha division five;
CCM inaondoka.
Mkuu JGG, kwanza naomba nikupongeze kwa kukubali kuwa mkweli, watu wakweli humu jf, wanaokubali ukweli halisi jinsi ulivyo ni wachache, na wewe uu mmoja wao!. Wengi wa member humu, wanaukubali ule ukweli wao tuu, sometimes sio ukweli halisi!.Wewe mara nyingi una hoja kuu 3 linapokuja suala la CDM,
- ni ccm inahitaji mbadala nayo ni CDM,
- ni CDM hawako organized ktk mambo mengi na
- ni Zitto anaonewa na CDM,
mi nakubaliana nawe kwa 1 na 2 ila ya 3 hapana, moja ya sababu kwanini zito anaihujuma CDM ni kwa kuwa hoja namba 2 ina ukweli